Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

mkuu uliwafanyaje?maana sio kawaida kuwadindia wale jamaa
Ukiwa more trained unakuwa na ujasiri wa kutosha na unaweza kupigana hata watu 10 ukawamudu vizuri ukiwa na punch nzito,kick nzto,na combination na techncs uko vizuri bas murua ,vijana weng wa Sasa wanajua kata ambayo Ni show lakin kufanyia Kaz zile kata wanakuwa wazito kupata Technics na wavivu kufanya hard kumite ili kuwajenga ustahimilivu na ukomavu
 
Sawa mkuu napenda kujua uliwafanyaje?na baada ya kuwashinda hawakwenda kuita wenzao?
Ukiwa more trained unakuwa na ujasiri wa kutosha na unaweza kupigana hata watu 10 ukawamudu vizuri ukiwa na punch nzito,kick nzto,na combination na techncs uko vizuri bas murua ,vijana weng wa Sasa wanajua kata ambayo Ni show lakin kufanyia Kaz zile kata wanakuwa wazito kupata Technics na wavivu kufanya hard kumite ili kuwajenga ustahimilivu na ukomavu
 
Mjomba wako ana dan ngapi? Na unaposema tu karate , unaongelea uwanja mpana sana wa japanese muscle art .

Karate imegawanyika mno kuna shoto ryu,okinawan karate,goju ryu,wado ryu na shito ryu. Yeye yupo wapi hasa ? Binafsi ninacheza shorinji kenpo pamoja na eskrima (nikishika chochote chenye ncha kwangu ni silaha).

Pia mkumbushe ya kwamba KARATE au mchezo wa kujilinda kwa kutumia mikono mitupu hautokei CHINA.. Karate ni JAPAN, uandishi wake tu inaonekana hio ni CHAI aseee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakushauri jifunze self defense mwamba najivunia naweza enda sehemu yeyote na muda wowote uje na lifimbo,panga,shoka nakuvibua tu nacheza shotokan brown belt now[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mbona bado mweupe sana mkuu, kazakaza kidogo usogee.
 
Nitafute nikupe dawa..35000 yako tu..

Ila washikaji mnifundishe namimi hizo karate za ugomvi..Kuna mtu ananizingua nataka kumzibua siku si nyingi..😂
 
Hahahaha jamaa alikuja na mikwara ya bonge la CV.
eti mjomba wake ametoka China.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]JF ina vituko sana
mwenyewe nimemzoooom nikagundua hii ni chai ya maziwa na chai.
 
mbona bado mweupe sana mkuu, kazakaza kidogo usogee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka Sana nadhani hujui unachokiongea kabisa na karate huijui kabisa yaaani hata rank huzijui kabisa yaan karibu tukufunze
 
mbona bado mweupe sana mkuu, kazakaza kidogo usogee.
Hapo bwana mdogo nimebakiza red belt Kisha black belt na red belt bado mtihani nasubir muda wote chama kikija kupasisha nivae red [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Mkuu mi napenda karate sijui Kung Fu na boxing napenda kinyama ila napenda na kukimbia..[emoji23][emoji23] ili nikizidiwa mbio ziniokoe sio adui akushinde mbio na ngumi jua akikushinda hivyo kwisha habari yako..[emoji28]
Nakushauri anza na mazoezi ya mbio.. ni mtaji mkubwa 🙂

Ukipigwa unajiokoa..
Akikimbia mapigo yako unamdhibiti lazima apokee mapigo kwa ujazo.. 😀

Tukimbie kwanza .

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nakushauri jifunze self defense mwamba najivunia naweza enda sehemu yeyote na muda wowote uje na lifimbo,panga,shoka nakuvibua tu nacheza shotokan brown belt now[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna kujua Karate.. na kuna moyo wa kutoa mapigo hivi sio mutually inclusive.

Kuna watu wanajua ngumi kama mhehe na kamwene.. lakini hawana roho za kijasusi za kugawa mapigo.

Tunakumbushana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sorry mkuu hizo rank zinachukua muda gani kuzimaliza?na je ni wapi zonafundishwa kwa hapa tanzania?
Hapo bwana mdogo nimebakiza red belt Kisha black belt na red belt bado mtihani nasubir muda wote chama kikija kupasisha nivae red [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Sorry mkuu hizo rank zinachukua muda gani kuzimaliza?na je ni wapi zonafundishwa kwa hapa tanzania?
Madojo yako mengi na hz rank Ni speed yako but kuna vitu ila madojo ya leo watu hupasishwa tu ili mradi ana rank mm tangu 2000 Niko katika tasnia hii sema majukumu ya shule na Kaz ndio yamefanya nichelewe hiz rank Ni white,yellow ,orange,green,blue, purple,brown,red higher rank black katika mikanda baada ya hapo ndio tunaingia katika kutafuta Dani na katika hzo rank katika kila mkanda Kuna kata zake lazima uzijue zote lazima ujue tech nalazima ujue kuzicheza vizuri kwa ufasaha na huwez kupasishwa bila kumite
 
Kuna kujua Karate.. na kuna moyo wa kutoa mapigo hivi sio mutually inclusive.

Kuna watu wanajua ngumi kama mhehe na kamwene.. lakini hawana roho za kijasusi za kugawa mapigo.

Tunakumbushana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatakuwa hajakwiza huyo vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Madojo yako mengi na hz rank Ni speed yako but kuna vitu ila madojo ya leo watu hupasishwa tu ili mradi ana rank mm tangu 2000 Niko katika tasnia hii sema majukumu ya shule na Kaz ndio yamefanya nichelewe hiz rank Ni white,yellow ,orange,green,blue, purple,brown,red higher rank black katika mikanda baada ya hapo ndio tunaingia katika kutafuta Dani na katika hzo rank katika kila mkanda Kuna kata zake lazima uzijue zote lazima ujue tech nalazima ujue kuzicheza vizuri kwa ufasaha na huwez kupasishwa bila kumite
hizo dani lengo lake ni nini mkuu?kwa mfano mimi nikihitaji ile ya kujihami tu na vibaka 4 wenye silaha za jadi wakizingua niwape adabu inatakiwa niishie kwenye rank ipi kati ya hizo?
 
Dan Ni kuonesha uwezo wako katika mapigano na ziko 10 hapo kwenye kuishia rank ipi hapana Cha Kwanza ujasiri,ujue mapigano ya kupigana na watu Zaid ya mmoja uzifahamu technic zote za kutumi silaha uzijue kwa usahihi usiende kuanzisha ugomv na yellow belt yako na haujaiva inavyotakiwa utapigwa mpkaa utachakaa fanya Sana mazoez tengenez muscles zako ziwe na Nguvu jifunze technic Sana kuwa mdadis naamin siku mtu anakutana na ngumi yako pigo moja harudi tena
 
sasa mtu aloyeishia kwenye black belt bila dani na mwenye dani wana utofauti gani mkuu?

Kwa lugha rahis Dani Ni degree kwa hyo unapoanza kucheza karate Ni safar yko ya Elimu kwa hyo ukifika black belt na ukaenda chukua Dan maana yake umeanza first degree Ni martial arts huko Kuna Elimu nying na mambo mengi mtu Kama cheq nors ana degree 8 yaan Dan 8 katika taekwondo kwa hyo utofauti uliopo mtu mwenye Dan Yuko more advance than black belt
 
duh hatar sana,kumbe nimegundua martial arts ni lifestyle anatakiwa tangu mtu yuko mtoto aanze kuandaliwa yaani ni mfano kama dini.
Sasa kwa sisi ambao tumeshaota midevu na tuna majukumu ndio tunataka tuanze kujifunza,tutaambulia kitu kweli?

Back
Top Bottom