nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
Baadae nikakutana nae kwenye minada ya Shinyanga...Tinde...nikiwa na Grinaker LTA Kampuni ya ujenzi wa barabara,
Baadae huyu mwamba akawa analeta mbuzi vingunguti....wakati huo sisi tunakula pombe pale relini...
Mwamba kanunua lori kubwa kwa ajili ya biashara zake za kununua mikoani na kuuza mjini...ananunua mjini anapeleka mikoani....
Wiki iliyopita nimekutana nae uwanja wa ndege anakwenda China,,,kanipa na business kadi yake,,,,analeta makontena ya kutosha...
Naam sisi tunaendelea kufanya uswahili na kuendekeza kupiga miti,,,,,,