nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
- Thread starter
- #21
Ni mwana sana sana...na kila tulipokuwa tunakutana nae....alinishauri saaana kuacha tungi..kugida maji,,,manake tukiwa hatuna kitu hata kachasu twaonja...kule Kyela tulikuwa tuna kunywa sana komoni maeneo ya mbuganiImekuwaje ukamfuatilia kiasi hichoš¤?
Au ni jamaa yako wa karibu.