Niliapa sintakuja piga mwanamke

Niliapa sintakuja piga mwanamke

malcom hauishiwagi mikasa ..
sasa nihvi hii story ikiendelea unitag...
sasa ole wako usinitag...leo nimetoka kufahamishwa na jopo LA wana ndugu kuwa mng'oa kucha ndiye baba yangu mzazi ..
 
mkuu ndio umetufanya nn tena daahhh ..ndugu zako wamekuita nini nkukupiga warning kuwa usiendelee kusimulia hii story ..maana sio kwa kututelekeza huku
 
Ndiyo maana huwa sisomi hadithi za humu! Mara nyingi huishia hewani!
 
Back
Top Bottom