Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ulikuwa upo kiunoni kwa mzee wako bado! Awamu ya mkapa ndio hela tulitumia hizo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] watoto wa 20000'nini!
Sawa mkuu ila noti za elf10 za bluu,sina kumbu kumbu ka'zishawahi tumika nchini!
Nimejitahid mno kuvuta memory langu lakini wapi!
Emb tukumbushane bas bwaashe, mwaka gani huo, ama kipindi cha Mwinyi?