Nilichanjwa dawa ya kupendwa na wasichana

Ulikuwa upo kiunoni kwa mzee wako bado! Awamu ya mkapa ndio hela tulitumia hizo
 
Ulikuwa upo kiunoni kwa mzee wako bado! Awamu ya mkapa ndio hela tulitumia hizo
Mkuu tangia Nyerere nilikuwepo tena mwajiriwa, cjui unaweza semaje kwa hilo.

Ninaweza kukuzaa sema kumbukumbu ndoishafuta, c unajua uzee tena!
Maana minoti ya Tz wameyabadilisha sana hasa kuanzia utawala wa alhaji.
 
Basi fanyia kazi kumbukumbu zako maana mie pia nilikuwa meneja wa bodi ya Pamba by that time baba wa Taifa akanitumbua 🤣🤣🤣
 
Muda mwingine ili nikueleweshe inabidi tuongee hata face to face huwezi kunielewa acha nikuache.

Halafu wewe ndiye unaweza kuwa mshirikina hata kumzidi yeyote humu.
 
Unadani jina la Mr Blue lilitokea wapi? Kama jamaa amekuzidi umri ujue tatizo liko hapo
 
[emoji16][emoji16][emoji16]nyie mbwa tenaa,hivi ikinasiana pale huwa inauma eh???[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Kuna wadada frani walienda kwa mganga wakiwa na shida awapatie dawa ili wapendwe na wazungu.
sijui walifanikiwa au laaa
 
ila uzinzi ni gharama pumbavu sana

ila una raha, wanapita madada 4 mbele yako usha watia govinda wa 3 alafu hawajuani basi unajikuta wa maana kumbe mpumbavu tu
 
Muulize Mr blue akitamba na kibao chake cha blue blue ni miaka gani hiyo
 
sidhani kama kuna hizi dawa zaidi ya utapeli.

Ukiwa mcheshi, kujiamini, kuvaa fresh ni dawa tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…