Nilichapa bakora mtoto wa jirani akafa

Nilichapa bakora mtoto wa jirani akafa

Baada ya kumaliza diploma yangu ya clinical medicine katika chuo cha mafinga ile nimefika tu mtaani siku ya pili nikakuta watoto wawili wa wapangaji wetu walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile umri wao ulikuwa miaka 10.

Nilichukua bakora nikawachapa ,bakora 20 kila mtu wakati natoa adhabu hiyo wazazi wao walikuwepo tena walikuwa wanasema wachape bakora za kutosha waache tabia zao chafu,baada ya kucharaza bakora kila mtoto akaenda kwao.

Kesho asubuhi bahati mbaya mtoto mmoja akuweza kuamka (alifariki) sasa balaa likanijia mimi wale wazazi hawakunielewa wakaenda polisi wakasema mimi ndio nimeua nimempiga mtoto na gongo na mateke kisa ameiba nyama daaaaaah!

Kufupisha huu mkasa kifupi nilikaa mahabusu miezi 11 nashukuru MUNGU nikapewa msamaha kwa kuua bila kukusudia,sasa hivi nikikuta watoto wanafanya Mambo ya ajabu nawaacha kama walivyo sifatishi ule msemo "mtoto wa mwenzio muone Kama mtoto wako".

NB:Aisee tuishi kibepari tuachane na ujamaa, kama mtoto hakuhusu au hata kama unamjua awe ameiba, watoro shuleni nakusihi nk.. nakushauri achana nao jifanye kama hauwaoni kila mzazi afe na mzigo wake.
huu mwandiko wa wana COTC
 
Kosa la kuua bila kukusudia lina adhabu yake. Sasa ukisema ulipewa msamaha kwa kuua bila kukusudia ina walakini kidogo.

Labda useme mahakama ilikukuta huna hatia.

Au useme ulifungwa gerezani na baadae ukapata msamaha wa Rais au bodi ya parole ikakuachia.

Kama nimemuelewa huyu jamaa ni kuwa walimalizana kinyumbani tu au pesa ilitembea kesi ikapotezewa. Inawezekana file lake lilikuwa na PP.

Hizo kesi za mauaji kwa huo wakati inakuwa bado Commital stage sasa wakaipotezea hapo hapo na kwa huo muda miezi 11 haikufika mahali hata kwa kutajwa tu.
 
Kosa la kuua bila kukusudia lina adhabu yake. Sasa ukisema ulipewa msamaha kwa kuua bila kukusudia ina walakini kidogo.

Labda useme mahakama ilikukuta huna hatia.

Au useme ulifungwa gerezani na baadae ukapata msamaha wa Rais au bodi ya parole ikakuachia.
Kasema alikaa mahabusu na mtu akiwa mahabusu kuna kuwa hakuna kifungo
 
Rudi kusoma sheria mzee
Kutiwa hatiani na kuhukumiwa ni kifungo anatumikia. Kuwa mahabusu sijui kiingereza chake ambapo pia nadhani ndio rumande ambapo mshitakiwa anakuwa anaenda kortini wakati shauri lake linasikilizwa. Yeye anasema alikuwa mahabusu akapata msamahani. Ebu nguli wa sheria nifafanulie mie wa kisomo cha ngumbaru.
 
BwanaKijana hii stori iwe kweli (halisi) au uwongo (ya kutunga) lakini mimi nakupa pole sana na hukuwa na kosa lolote ilikuwa ni ajali kazini tu. Ulisababisha mauaji katika hatua ya kuonya watoto tu (tena uzuri uliwaonya mbele ya watu ambao walipaswa kuwepo ili kuepusha uzushi baadae)

Kuna mtu anaona kama kipigo cha uuaji eti kisa bakora hizo ulizotaja... Ajabu kwelikweli. Hivi huyo hata shuleni alikuwa akiguswa kweli!? Au ndo wale fimbo mbili tu tayari mwalimu umesimamiwa utosini na wanafamilia utadhani umeiba mashine ya kijiji

Unashangaa na kulaani mtoto kupigwa bakora hizo ila hulaani watoto kufanyishwa kazi ngumu, kuchomwa kwa mkaa wa moto, banio la moto au pasi ya moto, kufundishwa mada, elimu, au masomo yaliyo juu ya umri wao, kuhusishwa katika mambo ambayo si saizi yao mfano maigizo yaliyo kingonongono na mengi mengine mfano wa hayo unachukulia poa tu!!!
 
Ndio viboko 20?
Nakumbuka zamani nilikuwa nikichapwa viboko napata homa kabisa
 
Acha kutudanganya bwege wewe, tangu lini msamaha ukatolewa ukiwa mahabusu?

Kwamba ulisamehewa kabla hujakutwa na hatia?
 
Baada ya kumaliza diploma yangu ya clinical medicine katika chuo cha mafinga ile nimefika tu mtaani siku ya pili nikakuta watoto wawili wa wapangaji wetu walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile umri wao ulikuwa miaka 10.

Nilichukua bakora nikawachapa ,bakora 20 kila mtu wakati natoa adhabu hiyo wazazi wao walikuwepo tena walikuwa wanasema wachape bakora za kutosha waache tabia zao chafu,baada ya kucharaza bakora kila mtoto akaenda kwao.

Kesho asubuhi bahati mbaya mtoto mmoja akuweza kuamka (alifariki) sasa balaa likanijia mimi wale wazazi hawakunielewa wakaenda polisi wakasema mimi ndio nimeua nimempiga mtoto na gongo na mateke kisa ameiba nyama daaaaaah!

Kufupisha huu mkasa kifupi nilikaa mahabusu miezi 11 nashukuru MUNGU nikapewa msamaha kwa kuua bila kukusudia,sasa hivi nikikuta watoto wanafanya Mambo ya ajabu nawaacha kama walivyo sifatishi ule msemo "mtoto wa mwenzio muone Kama mtoto wako".

NB:Aisee tuishi kibepari tuachane na ujamaa, kama mtoto hakuhusu au hata kama unamjua awe ameiba, watoro shuleni nakusihi nk.. nakushauri achana nao jifanye kama hauwaoni kila mzazi afe na mzigo wake.
Tabibu usomi ukautupa kwa sifa. Ulishindwa kutoa ushauri nasaha?
 
Yule mtoto anaemfira mwenzie ipi siku atamgeukia na wako wakati wewe upo kazini. Nzi mmoja anaweza kueneza ugonjwa mtaa mzima.
 
Kutiwa hatiani na kuhukumiwa ni kifungo anatumikia. Kuwa mahabusu sijui kiingereza chake ambapo pia nadhani ndio rumande ambapo mshitakiwa anakuwa anaenda kortini wakati shauri lake linasikilizwa. Yeye anasema alikuwa mahabusu akapata msamahani. Ebu nguli wa sheria nifafanulie mie wa kisomo cha ngumbaru.
Ukiangalia muda aliokaa mahabusu kwa kesi ya mauaji utagundua kesi yake haikufika kwenye stage ya kusikilizwa.

Kwa hiyo kuna kesi ilifutwa katika stage za kutajwa yaani. Kama vioe Jamhuri haina nia ya kuendelea na shauri lake.

Mtoa mada hajaeleza aina ya msamaha lakini kuna harufu ya mazungumzo ya kifamilia, mwendesha mashtaka, na hakimu. Maana stage hiyo kesi yake ilikuwa mahaka za chini bado kufika kwa jaji mahakama kuu.

Kuua bila kukusudia lazima uhukumiwe miaka na kwa busara ya Jaji anaweza chukua muda uliokaa mahabusu akatoa muda uliohukumiwa akapata muda utakao Kaa gerezani Kama mfungwa wengine hujikuta wanaachiwa huru kutokana na kukaa muda mrefu mahabusu
 
Huna akili.
Unadhani bakora ndio Suluhu la matatizo katika jamii?
Jamii ya watu waliostaarabika ni wazungu ambao bakora kwao zilishapotea miaka mingi.
Binafsi mpaka leo wale walimu walionichapa nawachukia .
 
Baada ya kumaliza diploma yangu ya clinical medicine katika chuo cha mafinga ile nimefika tu mtaani siku ya pili nikakuta watoto wawili wa wapangaji wetu walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile umri wao ulikuwa miaka 10.

Nilichukua bakora nikawachapa ,bakora 20 kila mtu wakati natoa adhabu hiyo wazazi wao walikuwepo tena walikuwa wanasema wachape bakora za kutosha waache tabia zao chafu,baada ya kucharaza bakora kila mtoto akaenda kwao.

Kesho asubuhi bahati mbaya mtoto mmoja akuweza kuamka (alifariki) sasa balaa likanijia mimi wale wazazi hawakunielewa wakaenda polisi wakasema mimi ndio nimeua nimempiga mtoto na gongo na mateke kisa ameiba nyama daaaaaah!

Kufupisha huu mkasa kifupi nilikaa mahabusu miezi 11 nashukuru MUNGU nikapewa msamaha kwa kuua bila kukusudia,sasa hivi nikikuta watoto wanafanya Mambo ya ajabu nawaacha kama walivyo sifatishi ule msemo "mtoto wa mwenzio muone Kama mtoto wako".

NB:Aisee tuishi kibepari tuachane na ujamaa, kama mtoto hakuhusu au hata kama unamjua awe ameiba, watoro shuleni nakusihi nk.. nakushauri achana nao jifanye kama hauwaoni kila mzazi afe na mzigo wake.

Yani umeua mtoto kwa kumchapa? We Jinga kabisa, yani wewe ni pimbi kabisa! Ningekufahamu ningetafuta namna ya kuifufua hiyo kesi ya Jinai, unasemewaje?

Hao watoto wa miaka 10 kuna mahali tu wameiga, wangeelekezwa tu kwa upole wasingekuwa na shida wangeelewa na kujirekebisha, we falaumeua mmoja, pumbavu kabisa!

Yani wewe unajiona ni kamanda saa Sita? We ni Kenge sana!
 
Bahati mbaya tu ilitokea!
...Kweli. Siku yake tu ilikuwa imefika. Angeweza kufariki hata kutokana kumkaripia tu!
Lakini mkuu, viboko 20? Mtoto wa Mtu? Kama ninakuona hapo ulivyokuwa unamuezeka fito dogo huku wazazi wake wakikushangilia!
Pole sana....
 
Yaan kifo sikuhizi kimekuwa kitu simple sana ee!!! Aisee
 
Back
Top Bottom