Nilichelea kuoa ila kwanza nitafute hela

Nilichelea kuoa ila kwanza nitafute hela

Guru Guja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
217
Reaction score
285
Walikuwa wananiambia oa nawaambia bado kwanza hawaelewi kwa nini kumbe mwenzao natafuta pesa kwanza, vijana wengi siku hizi wanaowa wakiwa bado hawana hela

Halafu wake zao tunakuja kuwala sisi wenye hela sababu nimekuwa nikiona wakina pale dukani kwangu wanavyobabaika wadada wazuri walitaka niwape pochi, nguo na vyatu wanipe mapenzi na huku wameolewa kabisa

Mimi ningekuwa muhuni nigetembea nao wanawake wengi sana basi tu vile si mtu wa mademu sana maana wanajua nina vijiela kidogo basi kila mara wananisifia mimi endinsamu mara napendeza sana mara sijui nini yaani mtu unaweza pata maugonjwa kama haupo makini.
 
Walikuwa wananiambia oa nawaambia bado kwanza hawaelewi kwa nini kumbe mwenzao natafuta pesa kwanza, vijana wengi siku hizi wanaowa wakiwa bado hawana hela

Halafu wake zao tunakuja kuwala sisi wenye hela sababu nimekuwa nikiona wakina pale dukani kwangu wanavyobabaika wadada wzurli walitaka niwape pochi, nguo na vyatu wanipe mapenzi na huku wameolewa kabisa

Mimi ningekuwa muhuni nigetembea nao wanawake wengi sana basi tu vile si mtu wa mademu sana maana wanajua nina vijiela kidogo basi kila mara wananisifia mimi endinsamu mara napendeza sana mara sijui nini yaani mtu unaweza pata maugonjwa kama haupo makini.
Wee nae sasa ndio undezi gani huo unafanya....mbususu haisuswi wewe. Mwanamke akijilengesha na wewe lenga shimo lake
 
Back
Top Bottom