Nilichelea kuoa ila kwanza nitafute hela

Kosa unalo fanya ni kuwaacha waende. Wakijilengesha we piga na Vunja na ndoa zao kabisa. Maana kiapo walikula wao church sio wewe.
 
Walikuwa wananiambia oa nawaambia bado kwanza hawaelewi kwa nini kumbe mwenzao natafuta pesa kwanza, vijana wengi siku hizi wanaowa wakiwa bado hawana hela

Halafu wake zao tunakuja kuwala sisi wenye hela sababu nimekuwa nikiona wakina pale dukani kwangu wanavyobabaika wadada wazuri walitaka niwape pochi, nguo na vyatu wanipe mapenzi na huku wameolewa kabisa

Mimi ningekuwa muhuni nigetembea nao wanawake wengi sana basi tu vile si mtu wa mademu sana maana wanajua nina vijiela kidogo basi kila mara wananisifia mimi endinsamu mara napendeza sana mara sijui nini yaani mtu unaweza pata maugonjwa kama haupo makini.
Viberiti saivi unauzaje kwa packet??
 
punguza utoto
 
Back
Top Bottom