Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
mimi nawajua wengi walioomba kuhamia huku kutokea mikoa mingine na wengine walipokuwa wanapewa barua ya uhamisho kupelekwa mikoa mingine walikuwa wanalia sana, mkoa wa lindi umebarikiwa ardhi yenye rutuba,ukarimu wa watu wake na ardhi ya kutosha hata wewe njoo tuNajua watu wengi waliohamishiwa Lindi waliokuwa wanaacha na kazi