Nilichoambiwa kuhusu ajira za walimu awamu ya pili mpaka leo.

hv ww jamaa shoga au mana 2ache 2jadili ye2 cc wahanga na post znatoka ataufanye nn bata wewe bado mshamba sana

haya bwana endeleeni kusubiri hiyo tar 15 pamoja na matusi yako kijana utanipa majibu.
 
swala sio kucrash ndugu tatizo watanzania ikiwaambia ukweli wa moja kwa moja wanakuchukia haya endelee kuwa amini hao wanao wapa taarifa za uchochoroni.
 
swala sio kucrash ndugu tatizo watanzania ikiwaambia ukweli wa moja kwa moja wanakuchukia haya endelee kuwa amini hao wanao wapa taarifa za uchochoroni.

Tupe basi izo information zako ili tujuwe kinachoendelea
 
Tupe basi izo information zako ili tujuwe kinachoendelea

kiongozi mbona taarifa nilisha toa mda sana tangu kipindi kile mlipo danganywa kuwa zitatoka tarehe 1 may na hiyo ndio taarifa yenyewe sahihi wala mtu asiwarubuni we tafuta pot yangu kuhusu hizo ajira za awamu ya pili.
 
look si utiririke tarifa kamili kuhusiana na kutokuajiriwa kwa walimu awamu ya pili, mbona unawapa vijana majibu ambayo ni incomplete ndio maana wanakutukana, maana inawauma sana wenzao kuajiriwa wenyewe wamebaki,
Tiririka basi vijana wakuelewe don't round the bush mkuu
 
Last edited by a moderator:
LOOK kaa kmya mada haikuhusu hata ww unijui unitishi sio lazma ukoment mi naongea na wakubwa ndo wananipa data we nan
 
LOOK kaa kmya mada haikuhusu hata ww unijui unitishi sio lazma ukoment mi naongea na wakubwa ndo wananipa data we nan

Haya bwana kazana kuongea na wakubwa wanao kupa data tar 15 si kesho tu!!hapo ndio tutajua nani anaongea na hao unao waita wakubwa wakati hata huwajui ni kina nani,, na kama ungekuwa unaongea hao unao waita wakubwa nahisi usinge wekwa kwenye reserve list ungetoka awamu ya kwanza kijana acha porojo zako. Agrey mwanry aje akupe taarifa wewe!! acha masihala bwana mdogo usidanganye wenzio.
 
Kiongozi swala hili lilisha elezwa kitambo tena kwa ufasaha sana na hata hao hao walimu wana toa lugha chafu waliisoma vizuri taarifa yangu ,nafikiri labda wanahamaki.
 
Last edited by a moderator:
Naona mnabishana v2 visivyo vya msingi as if sio waliemika,sa 2muamn nan ktk hili janga,unaebsha toa taarifa unayoijua kama kweli umeelimika na elmu imekukomboa.sorry if i made a mistake 4 any word.
 
cbahatk ww mi n muhanga wa st.john xaxa co unabsha find data zako na wew z2saidie ------- au nikupe namb ya n/wzr tamise

Jamani uandishi gani huu? Kama wewe ni mwalimu ni hatari sana kwa watoto wetu.
 
Mcharge ukisema mimi naropoka utakuwa unanikosea hasa nikizingatia tafsiri sisisi ya neno kuropoka, ni wapi nilipo ropoka?? Mimi kuwaambia hali halisi ilivyo kwa kuwatahadharisha na watu wanao toa taarifa za uongo ndio naropoka?? Kuwa serious mwalimu, mmedanganywa mara ngapi na mimi ninakanusha hapa?? Kwa hao walio sema tar 1-may nao si walidai wameambiwa na watendaji wa Tamisemi?majina yalitoka??lakini nilipo kanusha taarifa hizo mlinanga haya kaja huyo tena anawadanganya kuwa kawasiliana A.Mwanry kuwa kesho majina yanatoka,nakanusha una niita naropoka haya subiri kesho tar 15-5-2014 ambayo huyo unaye mwamini kasema kaambuwa na Mwanri halafu tutapeana mrejesho hapa hapa kiongozi.
 
LOOK ucwe km shoga ww nimepost nilichoambiwa niwajuze wahanga wenzangu unaleta upimbi toa data zako 2elewe MUONGO BABAKO
 
LOOK ucwe km shoga ww nimepost nilichoambiwa niwajuze wahanga wenzangu unaleta upimbi toa data zako 2elewe MUONGO BABAKO

Matusi ya nini hasa kwa wewe mwalimu hasa tukizingatia taaluma yako?? tarehe 15 sio mbali itafahamika tu nani muongo baba yangu au wewe na nakusihi usikimbie jukwaa hili bwana KICHEDE22 pindi itakapo thibika kuwa u muongo,mimi si mtumiaji wa matusi sababu elimu yangu ime faa kujitambua.
 
waalimu mnaosubiria awamu ya pili mtaajiriwa acheni kusikiliza porojo za akina Look
 
jaman wahanga wenzangu polen xana
nimeambiwa kesho -15/5 majina yanatoka mana nmeambiwa na naibu wazr leo dom kulpot 1/7

mkuu mi mwenyewe ni mhanga yani nimekata tamaa sana ya maisha kutokana na hiki kisanga mda mwingne najutia adi mda wangu nilioupoteza kukomaa na psychology zao miaka kbao
 
jaman wahanga wenzangu polen xana
nimeambiwa kesho -15/5 majina yanatoka mana nmeambiwa na naibu wazr leo dom kulpot 1/7

Tumechoka huku mtaani kiukweli naomba Mungu unayo yasema yawe kweli...Amen
 
waalimu mnaosubiria awamu ya pili mtaajiriwa acheni kusikiliza porojo za akina Look

Haya bwana safety last endeleen kuwapa moyo walimu, mda ambao wanasubiri ajira wangekuwa wamesha anza kufanya mambo mengine endeleen kuniona napiga porojo subirieni hiyo tar 15 mlio ambiwa maaa naona nliwapa tetesi nkidhan nawasaidia kumbe naonekana porojo endeleen.
 
Mungu na awakumbuke maana kilio chenu si bure mbele zake na milango mizuri zaidi ya mnayofikiri na kuiwazia iwe wazi mbele yenu walimu.Yule azuiae mafanikio yenu na aachie kwa jina la Yesu
 
Wapendwa walimu Ajira zitatoka tu. UVUMILIVU NA SUBIRA ndio tija ya mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…