nime edit kuondoa lile jina ambalo huyu punguani look aliliweka
poa xana shark 2po pamoja xana ndugu.
Ni rahisi sana kiongoz kuniita punguani ilihali hunijui nahisi ni kunitafuta kwa makusudi kabisa nikitaka kutupia humu details zako zote nitaweka bila shaka chunga kinywa chako kiiongozi sababu wewe swala la KICHEDE22 Umelivamia wala hata halikuhusu.
LOOK Ndo jina langu N na ntakutafuta kwa gharama zozote ama zangu ama zako tambua sa 1;15 ASBH NAO N UONGO LEO UTAJUTA
Unaweza kujiamini kwenye hamna kaka.mkuu wala usiogope kutupia hata chembe ya detailz zangu coz i dont kea na cfurai kutishia mtu eti una detailz zake n so wat. acha ushamba chief hyo ni kizamani sana na nna uwezo wa kuverify hyo id yangu n then wat. ila poa haina noma najua utakua una akili ckupingi eti dogo asidanganye ila nakupingq kum name call.
mkuu wala usiogope kutupia hata chembe ya detailz zangu coz i dont kea na cfurai kutishia mtu eti una detailz zake n so wat. acha ushamba chief hyo ni kizamani sana na nna uwezo wa kuverify hyo id yangu n then wat. ila poa haina noma najua utakua una akili ckupingi eti dogo asidanganye ila nakupingq kum name call.
Sina makuu na wewe na ndio mana ulipo sema nika ondoa haraka sababu nilijua nimekosea sasa hayo ya kuitana punguani yalitoka wapi?? Usivuke mipaka kiongozi.
ok mkuu sorry potezea ili thread ya watu iendelee na wengine maana kuna watu wanategemea info kutoka thread hii so sorry chief
he he he he he watu wanabiti za kitoto sana ha ha ha ha ha ha nimekufa kucheka
jaman wahanga wenzangu polen xana
nimeambiwa kesho -15/5 majina yanatoka mana nmeambiwa na naibu wazr leo dom kulpot 1/7