Nilichoambiwa kuhusu ajira za walimu awamu ya pili mpaka leo.

nime edit kuondoa lile jina ambalo huyu punguani look aliliweka

Ni rahisi sana kiongoz kuniita punguani ilihali hunijui nahisi ni kunitafuta kwa makusudi kabisa nikitaka kutupia humu details zako zote nitaweka bila shaka chunga kinywa chako kiiongozi sababu wewe swala la KICHEDE22 Umelivamia wala hata halikuhusu.
 
Last edited by a moderator:
Ni rahisi sana kiongoz kuniita punguani ilihali hunijui nahisi ni kunitafuta kwa makusudi kabisa nikitaka kutupia humu details zako zote nitaweka bila shaka chunga kinywa chako kiiongozi sababu wewe swala la KICHEDE22 Umelivamia wala hata halikuhusu.

mkuu wala usiogope kutupia hata chembe ya detailz zangu coz i dont kea na cfurai kutishia mtu eti una detailz zake n so wat. acha ushamba chief hyo ni kizamani sana na nna uwezo wa kuverify hyo id yangu n then wat. ila poa haina noma najua utakua una akili ckupingi eti dogo asidanganye ila nakupingq kum name call.
 
LOOK Ndo jina langu N na ntakutafuta kwa gharama zozote ama zangu ama zako tambua sa 1;15 ASBH NAO N UONGO LEO UTAJUTA

Hahahahaaaaaa!! Nimecheka sana na hivyo vitisho vyako wewe unitafute mimi!!! tena kwa gharama yeyote!!??u cant be serious, Basi usijali na wala usipoteze mda wako nitakufata mwenyewe wala usitumie gharama kubwa kunipata niambie tu nakukuta wapi.
 
mkuu wala usiogope kutupia hata chembe ya detailz zangu coz i dont kea na cfurai kutishia mtu eti una detailz zake n so wat. acha ushamba chief hyo ni kizamani sana na nna uwezo wa kuverify hyo id yangu n then wat. ila poa haina noma najua utakua una akili ckupingi eti dogo asidanganye ila nakupingq kum name call.
Unaweza kujiamini kwenye hamna kaka.
 
mkuu wala usiogope kutupia hata chembe ya detailz zangu coz i dont kea na cfurai kutishia mtu eti una detailz zake n so wat. acha ushamba chief hyo ni kizamani sana na nna uwezo wa kuverify hyo id yangu n then wat. ila poa haina noma najua utakua una akili ckupingi eti dogo asidanganye ila nakupingq kum name call.

Sina makuu na wewe na ndio mana ulipo sema nika ondoa haraka sababu nilijua nimekosea sasa hayo ya kuitana punguani yalitoka wapi?? Usivuke mipaka kiongozi.
 
ok mkuu sorry potezea ili thread ya watu iendelee na wengine maana kuna watu wanategemea info kutoka thread hii so sorry chief
 
Sina neno ni mambo ya kawaida kukoseana na kutakana radhi.
 
he he he he he watu wanabiti za kitoto sana ha ha ha ha ha ha nimekufa kucheka

Mh! Kawaida kiongozi kwa hawa vijana wetu, na wengi wao huwa wanadhani humu mitandaoni wote ni vijana wa umri wao.
 
Jamani,kwani vipi,mbona uvumilivu mnashindwa,acheni matusi na vijembe,havina maana.
 
Back
Top Bottom