Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Karibu sana Mji Mwema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo per capita income bila shaka imeandaliwa na chama tawala ili kuonyesha tupo vizuri lakini kiuhalisia sio.Gdp per capita ya mtanzania kwa mujibu wa warldbank ni chini ya Usd 1200 mwaka 2024.Kama huijui njombe Kaa kimya View attachment 2965881
Sawa mkuuNilikuwa na lengo moja tu: kuangalia fursa zilizopo, hasa za uwekezaji wa parachichi.
Ni watu dhaifu zaidi hapa nchini.Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe!
Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na umbo dogo sana lakini akawa ni mtu "mkubwa" sana.
Watu wengi wa Njombe wana maumbo madogo, unaweza kusema ni watu wafupi. Lakini akili zao na utu wao si "mfupi".
Kwa niliyoyashuhudia, nilihitimisha kama ifuatavyo kuhusu watu wa Njombe:
1. Ni watu wanaojikubali! Wamerkdhikia na maumbo yao ya kuzaliwa. Hawahangaiki kuwa kama "wengine" kimwonekano.
2. Ni watu wastaarabu sana, na wakarimu pia. Hata ukimwuliza mtu njia, anakuelekeza kwa upendo utafikiri unamlipa.
3. Ni wajasiri sana. Si wanaume wala wanawake. Wanajua kusimamia kile wanachokiamini.
Nakumbuka, tukiwa stendi kuu ya mabasi tukiwa tunataka kwenda Ludewa, wamama fulani waligoma kulipa nauli kabla gari halijaanza safari. Walikuja kulipa baada ya gari kutoka stendi. Si kama wamama wa mikoa fulani ambao wakikoromewa tu kidogo na konda "wanahanya" utafikiri huo usafiri wamepewa msaada.
Hilo basi likiwa njiani kuelekea Ludewa, lilikwama na hivyo kondakta na dereva wakawaomba abiria msaada wa kusukumwa. Mbona waligoma kufanya hivyo!. Hata mimi ilinibidi "nijikaushe" japo nilitamani kuwasaidia.
Walitoa sababu mbili za kukataa kwao:
A). Wamelipa nauli hivyo ni jukumu la watoa huduma kutafuta namna ya kuwafikisha wanakoenda kama tiketi inavyoonesha
B). Pale kuna vijana wanaoweza kuifanya hiyo kazi hivyo kondakta awalipe vijana waliopo eneo hilo ili waitie hiyo huduma.
Walisimama na huo msimamo mpaka wahudumu wa basi walipojiongeza na hatimaye basi kukwamuliwa.
Lakini hao watu si wakatili. Wana upendo mno. Siku iyo hiyo, wakati tukiendelea na safari, mmoja wa abiria aliugua njiani. Abiria walionesha ushirikiano wa hali ya juu katika kumpatia huduma ya kwanza hadi alipofikishwa hospitalini kwa basi ilo hilo.
4. Ni wachapa kazi sana. Kule kuna wenyeji wenye mashamba makubwa ya parachichi na miti ya mbao na nguzo. Inaonekana kuna mabilionea japo hawapigi kelele.
5. Ni watunzaji wa mazingira. Hata stendi yao ya mabasi, ukiiangalia, inavutia sana. Ina ukijani mzuri ambao umetokana na kupata matunzo stahiki.
Kwa kifupi, watu wa Njombe ni wajasiri, wakarimu, wastaarabu, wanajikubali, wachapa kazi na matajiri wasio na makelele.
Aliyewahi kuwa Mbunge maarufu kipindi cha utawala wa Kikwete, marehemu Deo Filikonjombe alikuwa Mbunge wa Ludewa. Ni zao la Njombe.
Sishangai kwa nini alikuwa jasiri! Ni asili ya watu wa Njombe.
Hongereni watu wa Njombe👏👏👏
Keep it up!
nashukuru sana for compliment mahi.Watu wenye rangi nyeusi iliyokolea huwa hawana uoga uoga wa kipuuzi...
😂😂😂 una uhakika njombe hakuna mabilionea? Una uthibitisho gani?Tanzania nzima hakuna watu wenye sifa zote hizo labda kama umeamua kuwa chawa wa watu wa njombe.
Ni sehemu gani watu wanahangaika na maumbo yao ya kuzaliwa iwe urefu, ufupi, uwebamba au unene. Kama ni wanawake kutafuta uweupe wa mchina, wanawake wa njombe nao ni mafundi.
Wangekua majasiri, wakarimu, wasitarabu na kujiamini mkoa huo usingeongoza kwa takwimu za HIV, wasingekuwa wanaburuzwa CCM na mkoa ungekua na maendeleo lakini badala yake wamejaa imani potofu za kishirikina.
Uchapakazi unaakisi maisha halisi ya watu, lakini uchapakazi wa watu wa njombe ni kizamani usiozingatia tija, wanawake kwa wanaume kutwa wako shamba lakini mwisho wa siku masilahi kisoda kama ilivyo sehemu zingine za nchi..
Njombe ukimtoa yule jamaa anayelima parachichi nyingi Nemes, mexison na mwenye hillside waliobaki wana hela za ugali na niliowataja nao sio mabillionea. Njombe hakuna mabillionea.
Ni kweli njombe watu wanajituma sana kazi za kilimo lakini efficiency ni ndogo sana kwa sababu wanafanya kilimo cha kizamani .
Namalizia kwa kusema watu wa njombe hawana hizo sifa zote ulizoandika,ni watanzania kama watanzia wengine waliojaa ujinga na umaskini mwing,mtu maskini na mjinga hawezikuwa mstaarabu,mjasiri wala kujiamini.
Kwasasa ni Njombe,ila ndio kabila linaloshabihiana kwa vitu vingi na wahehe,yan usipokuwa deep huwez watofautisha kirahisiwabena hao watu wa maana kabisa. nawapenda mnooo. lakini wabena kwao hasa sio Iringa?
Mafinga ipo Iringa,ndio makao makuu ya wilaya ya mufindiMafinga ipo Njombe!?
Nilipitaga nikalala hoteli moja inaitwa Saigon sijui kama bado ipo?
ukitaka kuona misimamo yao ina faida au hasara,oa mwanamke wa njombe!!!!!....Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe!
Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na umbo dogo sana lakini akawa ni mtu "mkubwa" sana.
Watu wengi wa Njombe wana maumbo madogo, unaweza kusema ni watu wafupi. Lakini akili zao na utu wao si "mfupi".
Kwa niliyoyashuhudia, nilihitimisha kama ifuatavyo kuhusu watu wa Njombe:
1. Ni watu wanaojikubali! Wamerkdhikia na maumbo yao ya kuzaliwa. Hawahangaiki kuwa kama "wengine" kimwonekano.
2. Ni watu wastaarabu sana, na wakarimu pia. Hata ukimwuliza mtu njia, anakuelekeza kwa upendo utafikiri unamlipa.
3. Ni wajasiri sana. Si wanaume wala wanawake. Wanajua kusimamia kile wanachokiamini.
Nakumbuka, tukiwa stendi kuu ya mabasi tukiwa tunataka kwenda Ludewa, wamama fulani waligoma kulipa nauli kabla gari halijaanza safari. Walikuja kulipa baada ya gari kutoka stendi. Si kama wamama wa mikoa fulani ambao wakikoromewa tu kidogo na konda "wanahanya" utafikiri huo usafiri wamepewa msaada.
Hilo basi likiwa njiani kuelekea Ludewa, lilikwama na hivyo kondakta na dereva wakawaomba abiria msaada wa kusukumwa. Mbona waligoma kufanya hivyo!. Hata mimi ilinibidi "nijikaushe" japo nilitamani kuwasaidia.
Walitoa sababu mbili za kukataa kwao:
A). Wamelipa nauli hivyo ni jukumu la watoa huduma kutafuta namna ya kuwafikisha wanakoenda kama tiketi inavyoonesha
B). Pale kuna vijana wanaoweza kuifanya hiyo kazi hivyo kondakta awalipe vijana waliopo eneo hilo ili waitie hiyo huduma.
Walisimama na huo msimamo mpaka wahudumu wa basi walipojiongeza na hatimaye basi kukwamuliwa.
Lakini hao watu si wakatili. Wana upendo mno. Siku iyo hiyo, wakati tukiendelea na safari, mmoja wa abiria aliugua njiani. Abiria walionesha ushirikiano wa hali ya juu katika kumpatia huduma ya kwanza hadi alipofikishwa hospitalini kwa basi ilo hilo.
4. Ni wachapa kazi sana. Kule kuna wenyeji wenye mashamba makubwa ya parachichi na miti ya mbao na nguzo. Inaonekana kuna mabilionea japo hawapigi kelele.
5. Ni watunzaji wa mazingira. Hata stendi yao ya mabasi, ukiiangalia, inavutia sana. Ina ukijani mzuri ambao umetokana na kupata matunzo stahiki.
Kwa kifupi, watu wa Njombe ni wajasiri, wakarimu, wastaarabu, wanajikubali, wachapa kazi na matajiri wasio na makelele.
Aliyewahi kuwa Mbunge maarufu kipindi cha utawala wa Kikwete, marehemu Deo Filikonjombe alikuwa Mbunge wa Ludewa. Ni zao la Njombe.
Sishangai kwa nini alikuwa jasiri! Ni asili ya watu wa Njombe.
Hongereni watu wa Njombe👏👏👏
Keep it up!
Njombe ukiacha kwamba tuna akili na pesa Huwa hatutaki ujinga nadhani Huwa unasikia matukio pande hiyo.Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe!

Hatutaki ujinga,hatulei kimaIla mbona kuna matukio ya ajabu ajabu sana yanaripotiwa kutoka pande hizo
Njombe
Geita
Asante tumekusikiaMimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe!

we wa njombeNjombe ukiacha kwamba tuna akili na pesa Huwa hatutaki ujinga nadhani Huwa unasikia matukio pande hiyo.
jaman mtu wa poor brain huwezi kuwa wa njombeNature ya mazingura huku mkuu.
Ila wafugaji wapo wa kawaida.
Parachichi huku ndio sehemu yake karibu sana.