Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka kumaanisha nini mkuu?Hivi bado wanaenda jando kwa bunduki..?(joke) 😂😂
Umesahau kukuna nazi 😂Haya ndo mambo ya Mbaga Jr na mwenzake Intelligent businessman
* Kuosha viombo vingae na kusugua sufuria kwa weledi
*Kupika pishi tamu kushinda hata mwanamke
*Kufua nguo , tena unakuta anarundika na anaratiba yake maalumu ya kufua na anang'arisha pasi na shaka lolote
* Kuweka chumba katika hali ya usafi wa hali ya juu mpaka mwanamke akiingia anatetemeka
* Kuchambua mboga, kukata mboga, kukata vitunguu, kuchambua mchele , maharage na vitu vingine vinavyofanana na hivyo
* Kupika chai asubuhi na kunywa kabla ya kwenda kazini / kibaruani/ mihangaikoni
Kwa siku chache nilizokaa huko, sikukutana na tukio lolote la ajabu, labda mambo na mazingira ya ajabu kama:Ila mbona kuna matukio ya ajabu ajabu sana yanaripotiwa kutoka pande hizo
Njombe
Geita
Wee jamaa ni wa hovyo sanaUmesahau kukuna nazi 😂
Ingawa haisomeki, naamini Njombe itakuwa ndani ya kumi bora kwa vyoo bora!
Ipo ni ya tatuIngawa haisomeki, naamini Njombe itakuwa ndani ya kumi bora kwa vyoo bora!
Huyo nitakayemuoa aje na kitu cha ziadaWee jamaa ni wa hovyo sana
😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Utaoa kweli ww na kichwa hicho
Shukran sana mkuu, ingawa mwenye njaa hasubiri kukaribishwa! Njombe inaweza kukata njaa ya "wawekezaji" wa parachichi.Nature ya mazingura huku mkuu.
Ila wafugaji wapo wa kawaida.
Parachichi huku ndio sehemu yake karibu sana.
Hata ingekuwa ya kwanza nisingeshangaa! Wanastahili!Ipo ni ya tatu
Huyo mgeni anatisha😂😂😂😂😂😂
Mgeni mgeni mgeni huyu mgeniiii
Mtaa gani huo?Usikose mtaa wa dhambi.
🙏🙏🙏Unakaribishwa mno Njombe!
Nilikuwa na lengo moja tu: kuangalia fursa zilizopo, hasa za uwekezaji wa parachichi.Umesahau VVU au hukuona?
Niliishia Ludewa mjini.Ulienda Ludewa sehemu gani?
Sikuwapiga picha mkuu. Lakini kama unataka kuona picha zao na mazingira yao unaweza kugoogle.Tuwekee picha zao japo hata moja tuthibitishe tu
Sasa huu si ujinga ...kadiri gari linavyochelewa si nyote mnachelewa?Hilo basi likiwa njiani kuelekea Ludewa, lilikwama na hivyo kondakta na dereva wakawaomba abiria msaada wa kusukumwa. Mbona waligoma kufanya hivyo!. Hata mimi ilinibidi "nijikaushe" japo nilitamani kuwasaidia.
Wenye upendo lakini gari walilopanda likizima hata kusaidi Konda kusukuma hawataki?Ukiwa ndani ya kristo unakuwa kiumbe mpya,ukristo umewafanya kuwa watu wenye upendo.
Njombe ni moja ya mkoa ambao imejipambanua zaidi na utazidi kukua zaidi kutokana na nature ya watu wake ni wampambanaji na wanapenda maendeleo na kupitia miji yao miwili makambako na njombe wameteua mji wa makambako uwe wa viwanda na biashara hii ni kutokana na jiografia pia na utajiri wa rasilimali walizo nazo kama madini na mazao ya kibiashara nk ko utarajie kuona mkoa wa njombe utazidi kukua mno ndo kwanza wawekezaji wanazidi kwenda kuwekezana plan yao ni kukuza mji wa makambako ili wa host kibiashara kwa mikoa ya iringa na ruvuma na nchi jilan kwa kujenga bandari kavu, industrial park,masoko ya mazao nk makambako na kazi imeanzaView attachment 2965895 View attachment 2965894View attachment 2965899View attachment 2965886View attachment 2965887View attachment 2965888View attachment 2965889View attachment 2965890View attachment 2965891View attachment 2965892![]()