Nilichobaini kwa watu wa Njombe

Kama huijui njombe Kaa kimya View attachment 2965881
Hiyo per capita income bila shaka imeandaliwa na chama tawala ili kuonyesha tupo vizuri lakini kiuhalisia sio.Gdp per capita ya mtanzania kwa mujibu wa warldbank ni chini ya Usd 1200 mwaka 2024.

Lindi ndo kabisa ni uongo wa mchana. Gdp per capital ya lindi haizidi Usd 800.kama unabisha fafanua lindi kuna shughuli gani za kiuchumi kufikia hiyo gdp per capita ya milion 2.8 na kuizidi mikoa ya mwanza,dodoma,manyara ,pwani n.k
 
Mafinga ipo Njombe!?
Nilipitaga nikalala hoteli moja inaitwa Saigon sijui kama bado ipo?
 
Ni watu dhaifu zaidi hapa nchini.

Usisahau ni watu ambao wakipata stress kidogo tu suluhisho lao nikujiua.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ una uhakika njombe hakuna mabilionea? Una uthibitisho gani?
 
ukitaka kuona misimamo yao ina faida au hasara,oa mwanamke wa njombe!!!!!....
 
Njombe ukiacha kwamba tuna akili na pesa Huwa hatutaki ujinga nadhani Huwa unasikia matukio pande hiyo.
 
Asante tumekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ