johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilikuwa napitia Hukumu ya Afande Zombe katika ile Kesi ya Muuza Madini aliyeuawa Mabwepande
Jaji alisema Zombe hana hatia Kwa Sababu Siyo yeye aliyefyatua risasi iliyomuuwa Muuza Madini
Pia soma: Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo ndani ya Miezi 6
Nikatafuta hukumu ya Mamwindi aliyemuua Dr Kleruu sijaipata ila simulizi za wazed zinasema yule mnyongaji alishtakiwa Kwa kuuwa bila kukusudia na kuachiwa Huru na kwamba hiyo ndio kanuni Kwa Sababu kuna kujibu maswali mbele ya Mungu wa mbinguni baada ya kutwaliwa
Pia soma: Hivi watu wanaosubiri kutekelezwa kwa hukumu ya kifo, siku au dakika za mwisho huwa wanakuwa katika hali gani?
Nikayarejea tena maneno ya Shujaa Magufuli " sijawahi kusaini Hukumu ya Kifo kipindi chote nilipokuwa kiongozi"
Nilichogundua ni kwamba kila binadamu anaogopa kuuwa binadamu wengine
Sasa napitia maandiko ya Bible ndio nakutana na zile Amri 10 za Mungu wa mbinguni alizompa Nabii Mussa na mojawapo inasema." USIUE"
Ndugu Zangu tupendane, acheni Mungu aitwe Mungu wa Mbinguni
Jumaa Mubarak 😀🌹