DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu.
Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya huo mchezo kwa ndugu zako tu wanaokujua vizuri.
Lakini ukimuomba mtu connection ya Kazi anaweza kukupambania ukapata au hata Biashara na sio kukupa hela zake .
So tujifunze kuomba connection za Kazi na sio pesa in short hakuna mtu anapenda kuombwa pesa.