Nilichogundua kuhusu Wanawake wa Mombasa...

Wema anakaribia miaka 40 sasa ila bado ana act like mtoto aliyezaliwa miaka 13 iliyopita. Wenzake wanaolewa yeye anasuswa na kubaki kuchezewa tu na kina Diamond, matokeo yake kwa hasira anajipiga mapicha akionyesha makalio.


Wema kazaliwa mwaka 1993
 
Kuna mambo yakiongelewa na mwanaume yanaleta ukakasi ilipaswa watoto kike wayaongee uko,haya matimu yamewaondolea wanaume wengi urijali wa asili wamekua na hulka za kike sasa hatari sana aiseeee unakuta dume zima anamwaga povu na chozi kisa Kiba na Diamond hakika ipo siku watu watatwanga tu [emoji23][emoji23]
 
Hata wewe ukio ujue wapo watakao msifia mkeo na wapo watakao mponda mkeo.....! Kama mwenyewe KIBA alivyo sema MACHO HAYANA PAZIA NA MOYO HAUNA MACHO.....

TUMTAKIE TU KHERI KWENYE NDOA YAKE
 
WABONGO KWA NINI TUNAPENDA NEGATIVE THINKING?? SASA AWE MIAKA 23 AU ASIWE 23 WEWE INAKUATHIRI VIPI
Hivi wewe ni dume au jike. Kama ni dume basi comments zako nyingi una present kama shoga. BTW kitu kikishawekwa kwenye forum&public ni ruksa kujadiliwa. Hii ni pamoja na harusi. Wanaojadili wana haki.
 
Umesahau kitu kimoja,
wanawake wa Mombasa wana sura nzuri ila nyuma Chura hakuna na wala hawajishtukii.

Mwanamke bila Chura ni sawa na Nyumba bila choo
 
Huyu Binti hana kasoro sasa wabongo wanazitafuta za uongo [emoji3][emoji3]
 
KIBA kaingia cha KIKE....wanawake wa KIMOMBASA wanawezana wenyewe WAMOMBASSA....atapigwa KO MAPEMA SN.....na Huyo mwanamke...ajiandae KISAIKOLOJIA kugombana na FAMILY yake,,,,,pia wana MICHEZO PENDWA ya PWANI
 
Mtoa mada ni bint mzalendo, alitamani kuolewa yeye
 
kiba 100 kaingizwa mjini watu wanakata rufaaa eti mkee kadanganya age na kapicha apo chini....View attachment 750724
Wanawake wa kibongo hawa wanataka kumtoa kwenye reli mtoto wa kimombasa...iam sure huyu si mwanamke wa matukio anajitambua.....KWA NINI NYIE MANUNG'AYEMBE HAMKUBALI MATOKEO KWAMBA ALI KAWATOSA KAENDA KUOA NG'AMBO!
 
Wana stara haswaa na haiba ya kike nimependa bi harusi alivyo na hayaa na staraa!hana matashtitiii mdada wa watu!hongera kungwiiii mwl wetu sio kigegooo!
kudadeki una maneno magumu hapo mistari ya mwisho sijakuelewa we mwanamke, sijui kigego sijui tashtiti
 
wewe nina hakika unapajua mombasa mtoa post kadhihirisha madhaifu mengi mno na nina hakika kapaona mombasa kuoitia harusi ya kiba tena pale ukumbini tu. ChingaOne umeteleza bro. mombasa haiko kama ulivyoiandika kwenye uzi huu umeprove failure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…