Nilichogundua kuhusu Wanawake wa Mombasa...

Nilichogundua kuhusu Wanawake wa Mombasa...

Ni mara 30 ya mombasani kuliko bongo [HASHTAG]#wanaume[/HASHTAG] kuchezea tz kuona another country #
 
Kwani yeye kiba mtoto? Mitoto ina miaka 23 imeshafanya mambo ya wamama wa miaka 45 toa mimba vibaya sana hadi ukiingia unaitwa kibamia acheni kiba apete kama kawaida wa bongo kwa unafiki na majungu hayo yanamfanya had leo mond kuwa kama chizi kwa wanawake mana maisha yake yanaendeshwa na watu wa mitandaoni na familia yake
 
Kupitia harusi ya Kiba Azam tv nimegundua mambo kadhaa kuhusu wanawake wa mombasa....
1.Ni wanawake wanaopenda kujisitiri maungo yao yani wanajua thamani ya miili yao...ushuhuda angalia walivyovaa hapo ukumbini kama wapo msibani vile madela na mashungi kibao assume hapo ingekua Dar es Salaam..mapaja nje nje
2.Ni wazi kuwa Wanawake wa Mombasa wanawazimia sana wanaume wa Bongo(si ajabu ndo mana wanaume wa kule wanapenda kulala chooni)....ushuhuda dada mmoja kaulizwa na mtangazaji umependa nini kwenye harusi hii...amejibu amependa wabongo.."Tz wako na swaga sana"
3.Wanawake wa Mombasa wana mzuka sana na taarabu za kibongo hasa za Isha Mashauzi..ushuhuda nyimbo nyingi ukumbini zinapigwa taarabu za Isha nA wanapata vibe ya kucheza kuliko hata zikipigwa ngoma za Bwana harusi muitikio hakuna.(mc kila muda dj weka mashauzi)
4.Wanawake wa Mombasa inaonekana ndio wapenzi wa burudani na sherehe kuliko wanaume au kwa lugha nyingine wanawake wa mombasa ni wajanja kuliko wanaume....ushuhuda 99% ya waliohudhuria ukumbini ni wanawake,hii labda ni kutokana na wanaume wa mombasa wengi labda ni maustadhi sana au vinginevyo
5.Mombasa haina tofauti na Tanga,tamaduni zao zinafanana kwa namna moja ama nyingine,labda kwa vile wanapakana.

Mwisho Kabisa kiroho safi kabisa Ukubw Wa tukio hili haukupaswa kuwa na uchangamfu hafifu pale ukumbini na kukosekana kwa Celebrity wakubwa kutoka Kenya...licha ya ukumbi kupambwa kwa namna ya kipekee unavutia sana naamini kabisa sherehe itakayo fanya bongo itakua si mchezo,funga kazi.
Wewe hii story umeipata kutoka insta kny page ya udakutz..siyo utafiti wako labda uwe mmiliki wa udakutz.
 
Wabongo bwana kwani mmesikia alikiba anatafuta timu vijana chini ya umri Wa miaka 18
 
Anayo kaweka private. Akija Tz awafungie vioo kabisaa maisha yake yawe yake na familia yake itakua poa. Maisha ya kiki na mashindano awaachie akina fulani
Ninacho mkubali Ali maisha ya privacy anayaweza kwahyo wale wachokonoaji watakula za uso tu
 
Kuna saa anavujisha kwa team yake hii sifa kusema kiba msiri si kweli ila tu hatumii account zake,ukienda kwa team zake unapata habari zake za kila aina. Bi harus walimtangaza wee na mapicha kibao wengi hawakuamin. Ila bidada akimcontrol vizuri team hazitapata udaku udaku
Ninacho mkubali Ali maisha ya privacy anayaweza kwahyo wale wachokonoaji watakula za uso tu
 
Ninacho mkubali Ali maisha ya privacy anayaweza kwahyo wale wachokonoaji watakula za uso tu
Kiba ana privacy yoyote sema anatumia timu yke kutangaza habari zke iwe ya malipo anayopewa na mafanikio tembelea Group za O. G ZA Team kiba utaona
 
Kwani yeye kiba mtoto? Mitoto ina miaka 23 imeshafanya mambo ya wamama wa miaka 45 toa mimba vibaya sana hadi ukiingia unaitwa kibamia acheni kiba apete kama kawaida wa bongo kwa unafiki na majungu hayo yanamfanya had leo mond kuwa kama chizi kwa wanawake mana maisha yake yanaendeshwa na watu wa mitandaoni na familia yake
povu la mwaka
 
Back
Top Bottom