Nilichogundua kuhusu Wanawake wa Mombasa...

Nilichogundua kuhusu Wanawake wa Mombasa...

Mombasa ni Zanzibar au Tanga

ingekuwa Nairobi ndio ungejua kwamba ni vipi. Maana wenzetu kule hata msibani huvaa kama party tuu.
 
Hivi wale wanaopigaga wanaume zao ni wa sehemu gani huko kenya?
 
Ni kweli wanawake sio mombasa tu yaani Kenya kwa ujumla wake wanapenda wanaume wa Kitanzania,tena wanafurahi sana pale tunapoongea kiswahili chetu.
Popote pale afrika mashariki na kusini..
Wanatukubali sana.
 
Ile ilikuwa pati ya wanawake tu.mombasa raha lakini wanawake wa huko ni wavumilivu sana wanaojua kuishi na mume!maudhui yao huwafanya kuheshim waume zao katika hali zote.sio wadada wa sinza siku ya harusi yake analala kwa mchepuko asubuhi mnakutana kaniasani au mskitini
 
Tanga kwenda Mombasa unakatisha tu Duga Maforoni. Vijana wa Tanga Jumamosi wanakwenda disco Mombasa wanarudi Jumapili
kwa wale wanaoskia tu Manza Bay waambie nayo yapatikana barabara kuu ya Tanga Mombasa....
 
kiba 100 kaingizwa mjini watu wanakata rufaaa eti mkee kadanganya age na kapicha apo chini....
Screenshot_2018-04-20-12-53-19.jpg
 
Wana stara haswaa na haiba ya kike nimependa bi harusi alivyo na hayaa na staraa!hana matashtitiii mdada wa watu!hongera kungwiiii mwl wetu sio kigegooo!
Somo wake yupo vizuri! kwakweli kibao cha Nyota ndogo kimburudishe huko aliko....Bi harusi pambeeee!
 
pia wanawake wa mombasa sifa yao wanapenda sana kutumia ule mtandao 0713 tigo line
 
Back
Top Bottom