Nilichogundua kuhusu Wanawake wa Mombasa...

Nilichogundua kuhusu Wanawake wa Mombasa...

Duh hadi humu zari anatajwa aiseee sijui kaingiaje hapa,watu na mahaba ya zari
 
kiba mbinafsi sana au tuseme hana marafiki wanamuziki wenzie?,


Si ubinafsi, harusi ni kitu cha heshima na cha historia.....uwapeleke wanamuziki wa bongo fleva katika harusi ya heshima unataka uchekwe? Bongo kuna msanii gani anayejiheshimu umjuaye wewe? Karibia ya wote ni wapuuzi tu, wao wanaona ujiko kujipiga video za utupu na kusambaza mitandaoni.
 
Sijuwi kama mademu wa kibongo watakaa salama mwaka huu, naona wengi watajinyonga tu kuachwa na kaka zao. Mwanamke asiyejisitiri au mcharuko dizaini ya kina Wema, Hamisa, wao ni kuchezewa tu na kupigwa video za utupu ila kuoa unakwenda kuoa mwanamke wa maana.
 
Pia sio wachoyo chochote unachowaomba wanakupa bila maswali mingi.Ilimradi roho yako iridhike
 
Kupitia harusi ya Kiba Azam tv nimegundua mambo kadhaa kuhusu wanawake wa mombasa....
1.Ni wanawake wanaopenda kujisitiri maungo yao yani wanajua thamani ya miili yao...ushuhuda angalia walivyovaa hapo ukumbini kama wapo msibani vile madela na mashungi kibao assume hapo ingekua Dar es Salaam..mapaja nje nje
2.Ni wazi kuwa Wanawake wa Mombasa wanawazimia sana wanaume wa Bongo(si ajabu ndo mana wanaume wa kule wanapenda kulala chooni)....ushuhuda dada mmoja kaulizwa na mtangazaji umependa nini kwenye harusi hii...amejibu amependa wabongo.."Tz wako na swaga sana"
3.Wanawake wa Mombasa wana mzuka sana na taarabu za kibongo hasa za Isha Mashauzi..ushuhuda nyimbo nyingi ukumbini zinapigwa taarabu za Isha nA wanapata vibe ya kucheza kuliko hata zikipigwa ngoma za Bwana harusi muitikio hakuna.(mc kila muda dj weka mashauzi)
4.Wanawake wa Mombasa inaonekana ndio wapenzi wa burudani na sherehe kuliko wanaume au kwa lugha nyingine wanawake wa mombasa ni wajanja kuliko wanaume....ushuhuda 99% ya waliohudhuria ukumbini ni wanawake,hii labda ni kutokana na wanaume wa mombasa wengi labda ni maustadhi sana au vinginevyo
5.Mombasa haina tofauti na Tanga,tamaduni zao zinafanana kwa namna moja ama nyingine,labda kwa vile wanapakana.

Mwisho Kabisa kiroho safi kabisa Ukubw Wa tukio hili haukupaswa kuwa na uchangamfu hafifu pale ukumbini na kukosekana kwa Celebrity wakubwa kutoka Kenya...licha ya ukumbi kupambwa kwa namna ya kipekee unavutia sana naamini kabisa sherehe itakayo fanya bongo itakua si mchezo,funga kazi.
Hoja ya kujaa wanawake haijaakisi ulichokieleza.Ile event ilikuwa maalum kwa ajili ya akinamama plus wanaume wachache waliokuwepo kwa sababu maalum.
 
Hivi unaweza ukawatizama watu kwenye Tv, kisha ukapata picha ya tabia zao halisi kweli?? Kwa hiyo wewe baada ya kutazama harusi kwenye Tv tayari umepata picha kuwa hivyo ndivyo wanawake wote wa Mombasa ndivyo walivyo?

Kwa hilo sikubaliani na wewe hata kidogo. Iko hivi, Mombasa hakuna tofauti na miji mingine mikubwa kama vile hapa Dar. Kuna mchanganyiko wa watu wa kila namna, wapo wenye kujisitiri na wasiojua kujisitiri. Nasema hivyo sababu binafsi nimewahi kukaa Mombasa na sikuona tofauti ya tabia za Wanawake wa Mombasa na Dar es salaam.
kuna vitu hataki kusema kuhusu wanawake wa mombasa
 
Wana stara haswaa na haiba ya kike nimependa bi harusi alivyo na hayaa na staraa!hana matashtitiii mdada wa watu!hongera kungwiiii mwl wetu sio kigegooo!
Ahsante kwa kuliona hilo.Ndo watu wa Pwani wanaojua thamani ya Pwani huwa wanaishi vile.
 
Wana stara haswaa na haiba ya kike nimependa bi harusi alivyo na hayaa na staraa!hana matashtitiii mdada wa watu!hongera kungwiiii mwl wetu sio kigegooo!
Ahsante kwa kuliona hilo.Ndo watu wa Pwani wanaojua thamani ya Pwani huwa wanaishi vile.
 
Back
Top Bottom