Nilichogundua kumbe WASAFI wana uwezo wa kuifuta CLOUDS ndani ya wiki moja wakiamua

Umemuita hivyo.. ungekuwa na nondo kumzidi ungeziandika.. unaonyesha tu jinsi unavyopigika kimaisha kwa lugha chafu sababu ni yeye afikiriavyo.. hukutakiwa kuandika hayo.
Yeye maoni yake,
Mimi maoni yangu,
Na wewe maoni yako,
Naona Ruge anawauma eh?
 
Bado naendelea kuhifadhi akiba ya maneno kwenye hili varangati
 
Clouds inajulikana kuliko wasafi wewe!! You cant compare Brand ya Clouds na WASAFI ni mlima na kichuguu.
we unaongea kitu gani? brand ya Clouds imebaki daslam tu,nenda mikoani utajua WCB ni kitu gani.akili yako ndogo
 
Umemuita hivyo.. ungekuwa na nondo kumzidi ungeziandika.. unaonyesha tu jinsi unavyopigika kimaisha kwa lugha chafu sababu ni yeye afikiriavyo.. hukutakiwa kuandika hayo.
Vijana wa siku hiz hawana uwezo wa kujenga hoja kinga yao ni matus badala ya hoja
 
Clouds inajulikana kuliko wasafi wewe!! You cant compare Brand ya Clouds na WASAFI ni mlima na kichuguu.
Clauds inajulikana tu kwenu huko nyie wanaume wa dar lakin siyo huku kwetu wasafi inajulikana kimataifa lakin clauds haijulikana hata hapo tu kenya
 
Mm siwapendi clouds nataman hata kesho wafulie kwanza nshaacha iskiliza kitambo me n Efm na eastafrca baaaasiii wanajiona sana pumbavuu zaaaooo
 
Kama makonda akitumia vyombo vya dola na utawala hapo hawana jinsi ila awaache wapambane bila kuingiza serikali watambaga sekunde mbili tu.
Watanzania mtandaoni waongea sana sasa njoo kwenye maisha halisi wanakutosa sana.
maana hao hao Watanzania walidai EFM itaifunika clouds na kuipoteza ila leo miaka imepita Clouds bado ipo, hivyo basi WCB hawawezi kuipoteza Clouds maana ni kinyago walicho kichonga wenyewe hakiwezi kuwatisha...
 
Kwanza ushaanza kumwamkia shemeji yako? Yule kiben ten cha dadako.

Unakaa kwa dada afu unajifanya mjanja, ipo siku utakula jeuri yako.
Au yule madam ndo anakupa jeuri sio?
 
hata wasanii wamekuchoka ile mbaya yaan magu akikuacha tu siku hiyo utaisoma namba
Kwani Ruge ni mwenyekiti wa Chama cha Wasanii Tanzania mpaka mwamchoke? Mimi naona wasanii wa Tanzania hawajajitambua ndio maana hawana umoja kila mtu anangalia tumbo lake, nadhani wao wamechangia kuwa na upebari kwenye sanaa yao(hasa mziki na filamu).
 
Nyie ndio mnajiita team wasafi, kwenye hiyo timu unacheza namba ngapi??
 
watu wa aina yako mleta mada ndio hasa watanzania ninao wajua mimi....ni majungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…