Nilichogundua kumbe WASAFI wana uwezo wa kuifuta CLOUDS ndani ya wiki moja wakiamua

Nilichogundua kumbe WASAFI wana uwezo wa kuifuta CLOUDS ndani ya wiki moja wakiamua

Mvulana wa Daslamu akiandika ni ngumu kutofautisha andiko la kike na la kiume.
 
Mm siwapendi clouds nataman hata kesho wafulie kwanza nshaacha iskiliza kitambo me n Efm na eastafrca baaaasiii wanajiona sana pumbavuu zaaaooo
J3 na ijumaa unasikilizaga planet bongo ya EA radio?
 
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa


Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kati ya huu mgogoro unaondelea chin chin kati ya wasafi na clouds nimegundua NGUVU YA UMMA IKO NYUMA YA DIOMOND

Yaan japo jana mitandaon watu wenye wafuas wengi walikuwa nyuma ya luge lakin watu wengi ukisoma coment zao wanamuunga mkono diomond kwa nguvu na akili zao zote

Jana nahis clouds walikuwa wanahaha kinoma na kuona kabisa ndo wamefika tamati maana wameshikwa pabaya

Baada ya kusaga kuona biashara yake inaenda kufa maana aliona nguvu ya umma iko nyuma ya wasafi akaomba msamaha fasta kwa salam

Ruge unachoweza ni kulilia mademu tu lakin huna chochote

Siku magufur akimua akuache peke yako makonda atakunyosha kisawa sawa kwa sasa nguvu yako iko kwa magu tu hata wasanii wamekuchoka ile mbaya yaan magu akikuacha tu siku hiyo utaisoma namba

Wasafi wanauwezo wa kuifuta clouds ndan ya week moja na ikabak historia

BOY FROM LONDON
Nguvu ya Uma au ya Kijiko.
Eti Msanii mmoja aifute Radio. Your dreaming

Klauzz Baba Lao..,
Unstoppable.
 
wana stress hahahaa wanaamua kujifariji....tatizo madogo wa WCB wamevimba kichwa na wanajiona wao ndo kila kitu ngoja mle mnyoosho extrime na CMG.
 
Ruge uwa mzee wa plan za muda mrefu katika vita zote alizopigana na wasanii mwanzo uwa anaonekana kashindwa kwasababu ya mihemko ya watu kumuunga mkono msanii. Mihemko ikiisha msanii anajikuta kabaki peke yake hapo ndipo uanza kula msoto na bifu likishaisha nguvu wabongo wanaanza kudeal na mambo mapya msanii anazidi pauka mwisho wa siku unamsikia karudi kuomba msamaha.
Hata hili ruge atashindwa mwanzoni atasemwa vibaya baada ya mwaka utaona matokeo..
bullshit
 
Back
Top Bottom