upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Kaka Adam habari, kipindi chako kizuri sana.Umetoroka shule mkuu??
😱😱😱😱😱 bora shule...yawezekana alishalazwa ile hospital ya dodomaUmetoroka shule mkuu??
J3 na ijumaa unasikilizaga planet bongo ya EA radio?Mm siwapendi clouds nataman hata kesho wafulie kwanza nshaacha iskiliza kitambo me n Efm na eastafrca baaaasiii wanajiona sana pumbavuu zaaaooo
Nguvu ya Uma au ya Kijiko.Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kati ya huu mgogoro unaondelea chin chin kati ya wasafi na clouds nimegundua NGUVU YA UMMA IKO NYUMA YA DIOMOND
Yaan japo jana mitandaon watu wenye wafuas wengi walikuwa nyuma ya luge lakin watu wengi ukisoma coment zao wanamuunga mkono diomond kwa nguvu na akili zao zote
Jana nahis clouds walikuwa wanahaha kinoma na kuona kabisa ndo wamefika tamati maana wameshikwa pabaya
Baada ya kusaga kuona biashara yake inaenda kufa maana aliona nguvu ya umma iko nyuma ya wasafi akaomba msamaha fasta kwa salam
Ruge unachoweza ni kulilia mademu tu lakin huna chochote
Siku magufur akimua akuache peke yako makonda atakunyosha kisawa sawa kwa sasa nguvu yako iko kwa magu tu hata wasanii wamekuchoka ile mbaya yaan magu akikuacha tu siku hiyo utaisoma namba
Wasafi wanauwezo wa kuifuta clouds ndan ya week moja na ikabak historia
BOY FROM LONDON
kaazima simu kwa head mistressUmetoroka shule mkuu??
[emoji23] [emoji23] [emoji16]Muda wa masomo unapost halafu badae mnamlaumu ndalichako
bullshitRuge uwa mzee wa plan za muda mrefu katika vita zote alizopigana na wasanii mwanzo uwa anaonekana kashindwa kwasababu ya mihemko ya watu kumuunga mkono msanii. Mihemko ikiisha msanii anajikuta kabaki peke yake hapo ndipo uanza kula msoto na bifu likishaisha nguvu wabongo wanaanza kudeal na mambo mapya msanii anazidi pauka mwisho wa siku unamsikia karudi kuomba msamaha.
Hata hili ruge atashindwa mwanzoni atasemwa vibaya baada ya mwaka utaona matokeo..