Nilichogundua mke hawezi kukutimizia mahitaji ya mwanaume kimapenzi,hasa pale anapoanza kulea

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Nilichogundua mke hawezi kukutimizia mahitaji ya mwanaume kimapenzi,hasa pale anapoanza kulea.Nadhani ni kutokana na majukumu ya kifamilia, yanakuwa yanawachosha na wanakosa muda wa kufanya maandalizi sahihi ya kumridhisha mume.Hii inaweza kuwa sababu ya sisi tulio kwenye ndoa kutoka nje,kutafuta kile tulichokosa ndani.Kwa hiyo tunapokuja huko nje nyie michepuko mtupokee vizuri kwa sarakasi zilizotukuka ili maisha yaendelee.
 
Kwa nini usikae chini na mke wako umuambie?

Ipo siku nae mke atasema anachepuka kwa sababu baba yupo busy kutafuta hela hivyo hakidhi mahitaji yake

Muda mwingine kusikia mtu anachepuka kwa sababu kama hii ya mtoa mada inashangaza sana.
 
ha ha ha ha ha
 
Michepuko ilimsababisha Nabii Suleiman kumuasi Mungu na kuabudu miungu, tumwombe Mungu sana kutushindia tamaa.
Nilichogundua mke hawezi kukutimizia mahitaji ya mwanaume kimapenzi,hasa pale anapoanza kulea.Nadhani ni kutokana na majukumu ya kifamilia, yanakuwa yanawachosha na wanakosa muda wa kufanya maandalizi sahihi ya kumridhisha mume.Hii inaweza kuwa sababu ya sisi tulio kwenye ndoa kutoka nje,kutafuta kile tulichokosa ndani.Kwa hiyo tunapokuja huko nje nyie michepuko mtupokee vizuri kwa sarakasi zilizotukuka ili maisha yaendelee.
 
Mi Nafikiri ni kuwa anaona alichokuwa anakitafuta amekipata!!! Wanaume tuendelee kuchepuka ila kwa akili😎
Wanaume tusichepuke (tusizini). Tufanye kati ya yafuatayo; 1.Tuwasaidie katika majukumu yao ama kwa kuwakea wasaidizi au tuwasaidie hizo kazi zinazo wachosha au 2. Tuongeze idadi ya wake 2-4 ili wawe na mapumziko na muda wa kufanya maandalizi,kwani anaweza kuwa free siku 2-6
 
ha ha ha ha,bora uchepuke kuliko kuongeza nyumba ndogo mkuu
 
Wanaume tusichepuke (tusizini). Tufanye kati ya yafuatayo; 1.Tuwasaidie katika majukumu yao ama kwa kuwakea wasaidizi au tuwasaidie hizo kazi zinazo wachosha au 2. Tuongeze idadi ya wake 2-4 ili wawe na mapumziko na muda wa kufanya maandalizi,kwani anaweza kuwa free siku 2-6
Unatuzo ngapi za kuruka majivu na kukanyaga Moto..?
 
Back
Top Bottom