Thibitisha kama unaweza kuongeza hata unywele mmoja kichwani mwano na kama unajua idadi ya nywele zako. Thibitisha wazazi wako walinunua wapi pumzi unayojigama nayo.Thibitisha kuwa mungu yupo
Thibitisha kama unaweza kuongeza hata unywele mmoja kichwani mwano na kama unajua idadi ya nywele zako. Thibitisha wazazi wako walinunua wapi pumzi unayojigama nayo.Thibitisha kuwa mungu yupo
Kwa nini usikae chini na mke wako umuambie?
Ipo siku nae mke atasema anachepuka kwa sababu baba yupo busy kutafuta hela hivyo hakidhi mahitaji yake
Muda mwingine kusikia mtu anachepuka kwa sababu kama hii ya mtoa mada inashangaza sana.
Hili nalo ni pepo. Mtafutie binti wa kazi.
ha ha ha haBinti wa kazi ili aje kumpa alichokosa?
Mkuu, mimi sipendi kubishana kwa vitu vya kipuuzi.Thibitisha kama unaweza kuongeza hata unywele mmoja kichwani mwano na kama unajua idadi ya nywele zako. Thibitisha wazazi wako walinunua wapi pumzi unayojigama nayo.
Thibitisha kuwa mungu yupo
Mkuu, mimi sipendi kubishana kwa vitu vya kipuuzi.
Na kwakuwa nimekwambia uthibitishe uwepo wa huyo mungu, umeshindwa, badala yake unaleta story na mambo ya ajabu,
Kwa ufupi niseme "mungu ni shoga"
Kama yupo basi akasilike na ajibu hilo andiko langu hapo juu, sababu yeye mnasema hashindwi chochote.
Duuh!.. hii level ingine ya kujiamini.Mkuu, mimi sipendi kubishana kwa vitu vya kipuuzi.
Na kwakuwa nimekwambia uthibitishe uwepo wa huyo mungu, umeshindwa, badala yake unaleta story na mambo ya ajabu,
Kwa ufupi niseme "mungu ni shoga"
Kama yupo basi akasilike na ajibu hilo andiko langu hapo juu, sababu yeye mnasema hashindwi chochote.
Jaman usiseme hivi ni vibaya sana kuna watu walikufa kwa kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Kama huamini bora usiongee kitu!Mkuu, mimi sipendi kubishana kwa vitu vya kipuuzi.
Na kwakuwa nimekwambia uthibitishe uwepo wa huyo mungu, umeshindwa, badala yake unaleta story na mambo ya ajabu,
Kwa ufupi niseme "mungu ni shoga"
Kama yupo basi akasilike na ajibu hilo andiko langu hapo juu, sababu yeye mnasema hashindwi chochote.
Hao walikufa kwa matatizo ya kawaida kama wengine wanavyokufa leo hii.Jaman usiseme hivi ni vibaya sana kuna watu walikufa kwa kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Kama huamini bora usiongee kitu!
Mwanamke akiwa na shida na hawezi kutoa huduma mwanaume ataambiwa ndoa Ni zaidi ya ngono.Kwanini usivumilie mpaka mtoto atakavyokuwa mkubwa? Nadhan majukumu hayo ya malez yanakuwa makubwa miez 6 ya mwanzo had mwaka m1. Mwaka unaofuata majukumu yanapungua na mnaweza mkafurahia penz lenu. Ondoa wazo la kuchepuka, muda ambao mkeo anakuwa busy na kulea mtoto wewe iwe fursa ya wewe kutafuta pesa kwa bidii. Kuvumilia mwaka m1 bila kusex ni jambo dogo sana kwa mwanaume mchapakaz, ila kwa mwanaume ambaye yupoyupo tu, ndo inakuwa tabu. Epuka kuweka mawazo ya ngono mbele, ndoa ni zaid ya ngono.
ha ha ha ha kuna ukweli mkuuMwanamke akiwa na shida na hawezi kutoa huduma mwanaume ataambiwa ndoa Ni zaidi ya ngono.
Ila pata shida mwanaume ushindwe kazi uambiwe "vingine vyote hata kwetu vipo"
Dunia Ina upendeleo Sana!!
Kwamba 'ulichogundua'???Nilichogundua mke hawezi kukutimizia mahitaji ya mwanaume kimapenzi,hasa pale anapoanza kulea.Nadhani ni kutokana na majukumu ya kifamilia, yanakuwa yanawachosha na wanakosa muda wa kufanya maandalizi sahihi ya kumridhisha mume.Hii inaweza kuwa sababu ya sisi tulio kwenye ndoa kutoka nje,kutafuta kile tulichokosa ndani.Kwa hiyo tunapokuja huko nje nyie michepuko mtupokee vizuri kwa sarakasi zilizotukuka ili maisha yaendelee.
Hili nalo ni pepo. Mtafutie binti wa kazi.
Mkuu,hiyo inaweza kuwa ni suluhisho?