Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mkuu,hiyo inaweza kuwa ni suluhisho?Hili nalo ni pepo. Mtafutie binti wa kazi.
ha ha ha haMi Nafikiri ni kuwa anaona alichokuwa anakitafuta amekipata!!! Wanaume tuendelee kuchepuka ila kwa akili😎
ha ha ha ha kwa nini mkuu?Ngoja Ni sabuskraibu huu Uzi. Ntarudi usiku wa manane
ha ha ha ha nimejikuta nacheka sanaMkuu kama housegal wako hapo nyumbani anakuvutia we pita nae tu usitafute justification humu ndani.
ha ha ha ha haKwa nini usikae chini na mke wako umuambie?
Ipo siku nae mke atasema anachepuka kwa sababu baba yupo busy kutafuta hela hivyo hakidhi mahitaji yake
Muda mwingine kusikia mtu anachepuka kwa sababu kama hii ya mtoa mada inashangaza sana.
sawa mkuu
Nilichogundua mke hawezi kukutimizia mahitaji ya mwanaume kimapenzi,hasa pale anapoanza kulea.Nadhani ni kutokana na majukumu ya kifamilia, yanakuwa yanawachosha na wanakosa muda wa kufanya maandalizi sahihi ya kumridhisha mume.Hii inaweza kuwa sababu ya sisi tulio kwenye ndoa kutoka nje,kutafuta kile tulichokosa ndani.Kwa hiyo tunapokuja huko nje nyie michepuko mtupokee vizuri kwa sarakasi zilizotukuka ili maisha yaendelee.
Ni kweli mkuuMichepuko ilimsababisha Nabii Suleiman kumuasi Mungu na kuabudu miungu, tumwombe Mungu sana kutushindia tamaa.
Wanaume tusichepuke (tusizini). Tufanye kati ya yafuatayo; 1.Tuwasaidie katika majukumu yao ama kwa kuwakea wasaidizi au tuwasaidie hizo kazi zinazo wachosha au 2. Tuongeze idadi ya wake 2-4 ili wawe na mapumziko na muda wa kufanya maandalizi,kwani anaweza kuwa free siku 2-6Mi Nafikiri ni kuwa anaona alichokuwa anakitafuta amekipata!!! Wanaume tuendelee kuchepuka ila kwa akili😎
ha ha ha ha,bora uchepuke kuliko kuongeza nyumba ndogo mkuuWanaume tusichepuke (tusizini). Tufanye kati ya yafuatayo; 1.Tuwasaidie katika majukumu yao ama kwa kuwakea wasaidizi au tuwasaidie hizo kazi zinazo wachosha au 2. Tuongeze idadi ya wake 2-4 ili wawe na mapumziko na muda wa kufanya maandalizi,kwani anaweza kuwa free siku 2-6
Ndo nakua free mkuuha ha ha ha kwa nini mkuu?
Unatuzo ngapi za kuruka majivu na kukanyaga Moto..?Wanaume tusichepuke (tusizini). Tufanye kati ya yafuatayo; 1.Tuwasaidie katika majukumu yao ama kwa kuwakea wasaidizi au tuwasaidie hizo kazi zinazo wachosha au 2. Tuongeze idadi ya wake 2-4 ili wawe na mapumziko na muda wa kufanya maandalizi,kwani anaweza kuwa free siku 2-6
Thibitisha kuwa mungu yupoMichepuko ilimsababisha Nabii Suleiman kumuasi Mungu na kuabudu miungu, tumwombe Mungu sana kutushindia tamaa.