Nilichogundua mke hawezi kukutimizia mahitaji ya mwanaume kimapenzi,hasa pale anapoanza kulea

Kuwa uyaone
Kwa nini usikae chini na mke wako umuambie?

Ipo siku nae mke atasema anachepuka kwa sababu baba yupo busy kutafuta hela hivyo hakidhi mahitaji yake

Muda mwingine kusikia mtu anachepuka kwa sababu kama hii ya mtoa mada inashangaza sana.
 
Thibitisha kama unaweza kuongeza hata unywele mmoja kichwani mwano na kama unajua idadi ya nywele zako. Thibitisha wazazi wako walinunua wapi pumzi unayojigama nayo.
Mkuu, mimi sipendi kubishana kwa vitu vya kipuuzi.
Na kwakuwa nimekwambia uthibitishe uwepo wa huyo mungu, umeshindwa, badala yake unaleta story na mambo ya ajabu,
Kwa ufupi niseme "mungu ni shoga"
Kama yupo basi akasilike na ajibu hilo andiko langu hapo juu, sababu yeye mnasema hashindwi chochote.
 
Jiwe gizani [emoji1787]
 
Mwili mmoja unataka kuubomoa kisa ufa! Hebu ujenge huo ufa ili hiyo nyumba isibomoke
 
Duuh!.. hii level ingine ya kujiamini.
 
Jaman usiseme hivi ni vibaya sana kuna watu walikufa kwa kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Kama huamini bora usiongee kitu!
 
Jaman usiseme hivi ni vibaya sana kuna watu walikufa kwa kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Kama huamini bora usiongee kitu!
Hao walikufa kwa matatizo ya kawaida kama wengine wanavyokufa leo hii.
Isitoshe nimesema aje ajithibitishe tumuone.
Kama ameshindwa, basi ndiyo hivyo analiwa kiboga.
 
Mwanamke akiwa na shida na hawezi kutoa huduma mwanaume ataambiwa ndoa Ni zaidi ya ngono.

Ila pata shida mwanaume ushindwe kazi uambiwe "vingine vyote hata kwetu vipo"
Dunia Ina upendeleo Sana!!
 
Mwanamke akiwa na shida na hawezi kutoa huduma mwanaume ataambiwa ndoa Ni zaidi ya ngono.

Ila pata shida mwanaume ushindwe kazi uambiwe "vingine vyote hata kwetu vipo"
Dunia Ina upendeleo Sana!!
ha ha ha ha kuna ukweli mkuu
 
Kwamba 'ulichogundua'???

Ahsante mgunduzi, mjinga akifahamu asichokuwa anakifahamu hata kama si jambo geni miongoni mwa watu wengi ama la kustaajabisha ati anasema alichogundua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…