Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu!
Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo!
Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa!
Mwanamke mwenye sifa ya kuolewa leo hata kama akitoka kwenye ndoa A , Haichukui muda anaolewa tena kwenye ndoa B,
Mwanamke akiwa na sifa za kuwa mke hata akifiwa na mmewe haichukui muda anaolewa hata akiwa na watoto 50!
Wanaume Tumepewa uwezo mkubwa sana wakutenganisha mke na hawa wengine hata wawe wazuri vipi.
Sifa za mke nazifananisha na kiwanja kilicho sehemu nzuri hata kikinunuliwa leo, ukitaka kukiuza tena chapu kwa haraka kuliko viwanja vyenye migogoro inje ya mji!
Mwanamke mwenye sifa za kuolewa hakai mtaani miezi sita asiolewe hayupo!
Ukiona sehemu mwanamke anatafta Mme hilo ni bomu linatafta pa kulipukia!
Mwanamke mwenye sifa za mke anawindwa kuliko masega! HAKAI