mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
😆Wana drama hao mkiwa kwenye mahusiano utajua watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆Wana drama hao mkiwa kwenye mahusiano utajua watu.
Kweli kabisaSahihi sana kuwa na family ni kitu kizuri sana na ni baraka lakini tukumbushane kwamba umakini unahitajika sana kwenye kufanya chaguzi
Hebu tusaidie hizo sifa za mwanamke kuwa mke.Mwanamke akiwa na sifa za kuwa mke
Sawa mwanasaikolojia, Ni kweli naweza fanya maamuzi.. kama hili halikupendezi sio tatizo langu.Uko nje ya mada ila wataalamu wa psychology tushajua unatafuta namna ya kujitibu unachopitia yani unatafuta balance uonyeshe watu na wewe unaweza kufanya maamuzi 😀😀
Una sifa za mke au mwanamke?Ningojee kuolewa sasa 🌚
Hata akivaa baibui utajua tu muda hauongopiMke anaonekana haraka sana, Mdangaji anajulikana haraka sana
Choose wisely
Vigezo kwanza then utayari.Zungumzieni na utayari wa wahusika kuolewa basi… Kuolewa sio kutekwa, Mwanamke lazima akubali kwanza.
If you know you know!
Vigezo kwanza then utayari.
How comes unakiwa tayari kuolewa, Vigezo vikiwa chini(Elewa neno chini), lazima ufahamiane na mwamposa
Naelewa vizuri!Vigezo kwanza then utayari.
How comes unakiwa tayari kuolewa, Vigezo vikiwa chini(Elewa neno chini), lazima ufahamiane na mwamposa
Business womanWanawake bhana! kuna single mama 30+ nilimu approach me nikawa najua ile tumalizane tu kila mtu ale 50 zake nikamwita mazingira naona anajibrand kweli oooh mie sio wa Ivo nikajua basi madam Hana njaa nikamheshimu kwnz nikawa naomba mzigo taratibu nikashangaa siku moja ananiomba hela ndefu tu nikasema weee siku nyingi unazingua nn si ungekuja tumalizane tu nikupe chako! yaani akarudi kulekule kudanga sasa wkt mwanzo alijifanya hataki
Kuzijua mpaka uwe umevuka miaka 25 au 30 chini ya hapo unawaza sex tu na mbol000 ina nguvu mno ya kuangalia mwili wake kuliko roho ama moyo na tabia zake,Kabisa yaani fasta ... Yaani mwanamke mwenye hizo sifa leo hata akiachwa leo kesho anaolewa tena hawezi kaa mwaka hajaoata mme hiyo haipo!
Na hicho kipawa wanaume tumepewa kujua fasta hata akiekitia lazima mwanaume atajua huyu ni feki au ndiye!
Walikua wanaolewa na wanaume gani, sasa mtu kama dogo janja utasema kuna mume pale.twende taratibu, kwahiyo marehemu Dida alikuwa na sifa za kuwa mke au upepo wa ndoa?, vipi Uwoya? weka hoja
Hahaha..NakubaliKama kawaida maisha lazima yasonge tunaanzia kunywa universal tunamalizia freepark, hatutoki njia panda sisi
Mume: mke wangu nimechooka sana nipate maji hapo kwene frijiKuolewa siyo shida,shida humo ndani sasa☺️☺️
Mume: mke wangu brush viatu niwahi kwenye kikao.Hakuna shida,ni maisha yanaendelea mkuu
Noma tupuMume: mke wangu brush viatu niwahi kwenye kikao.
Mke: (Msonyo) Wewe hauna mikono?