Nilichogundua mwenzenu

Yetu Macho...

Tunawapa nafasi Vibogoyo tuone wanavyolia Magego....

Ila nawewe tiCha mapenzi unayachokaje...?? huoni ni hatari hio.
Nimechoka aisee,japo Kuna muda nawashwa balaa ila nakaza siku zinasonga ex wangu
 
Kwa walio single ulishazoea ratiba zako sasa unaanza pangiwa matumizi ya muda me mme au mke
 
Nimechoka aisee,japo Kuna muda nawashwa balaa ila nakaza siku zinasonga ex wangu

Pole sana,,, kiporo bado kipo, ni wewe tu ukitaka uje tukipashe,, na wala hakihitaji moto mwingi...

BTW haijalishi unapitia yapi,,, usiruhusu Unyonge Maishani,,, Be strong...

Na ulevi nilishakukataza,,, sitarajii kuona unashawishika kwa namna yoyote...NAKUKATAZA TENA...

Ifanye Familia yako iwe furaha yako.,, na mengine yote utazidishiwa.
 
Amina
 
Kwa walio single ulishazoea ratiba zako sasa unaanza pangiwa matumizi ya muda me mme au mke
Wewe hilo linakushinda? kwa hiyo ni bora tu kupuyanga kupeleka mbususu huku na kule kisa tu huwezi ku adjust ratiba zako ukishaolewa?
 
Wewe hilo linakushinda? kwa hiyo ni bora tu kupuyanga kupeleka mbususu huku na kule kisa tu huwezi ku adjust ratiba zako ukishaolewa?
Mkuu wapi nmeandika kuwa Hilo limenishinda au linanishinda?. Mbona Kama uko na mihemko hvi Nini tatizo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…