Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Ndoa tamu sana vijana oeni
KADI YA MSIBA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa tamu sana vijana oeni
Bora tugegegdane tuuVilio na misiba vimetawala ndoani
Yetu Macho...Vilio na misiba vimetawala ndoani
Nimechoka aisee,japo Kuna muda nawashwa balaa ila nakaza siku zinasonga ex wangu
AminaPole sana,,, kiporo bado kipo, ni wewe tu ukitaka uje tukipashe,, na wala hakihitaji moto mwingi...
BTW haijalishi unapitia yapi,,, usiruhusu Unyonge Maishani,,, Be strong...
Na ulevi nilishakukataza,,, sitarajii kuona unashawishika kwa namna yoyote...NAKUKATAZA TENA...
Ifanye Familia yako iwe furaha yako.,, na mengine yote utazidishiwa.
Wewe hilo linakushinda? kwa hiyo ni bora tu kupuyanga kupeleka mbususu huku na kule kisa tu huwezi ku adjust ratiba zako ukishaolewa?Kwa walio single ulishazoea ratiba zako sasa unaanza pangiwa matumizi ya muda me mme au mke
Mkuu wapi nmeandika kuwa Hilo limenishinda au linanishinda?. Mbona Kama uko na mihemko hvi Nini tatizo??Wewe hilo linakushinda? kwa hiyo ni bora tu kupuyanga kupeleka mbususu huku na kule kisa tu huwezi ku adjust ratiba zako ukishaolewa?
Safi sana, kumbe unalimudu.......basi tatizo hakuna hapo.Mkuu wapi nmeandika kuwa Hilo limenishinda au linanishinda?. Mbona Kama uko na mihemko hvi Nini tatizo??
YaaapTulishakubaliana humu wanaume hatuoi
Nani huyo...?Wanaoa mbona
Ndioo raha ya duniaMzee wa amshaamsha