PointMwanamke ndo anatakiwa aolewe mapema 18-25 akichelewa hapo muda unamuacha
Mwanaume anatakiwa aoe akiwa na miaka 30 hii miaka 20-30 ni miaka Ya kujijenga,kibusara(kuwa na maamuzi sahihi),kiuchumi uweze kuhudumia hiyo familia maana mwanaume huna msaada wowote hata mtu akikuuliza uko poa? Unatakiwa umjibu tu ndio Niko sawa maana maana hata ukijibu hauko poa hakuna atakae jali shida zako
Wacheni wivu bwana...mbona warembo mnabania vipochi manyoyaMi simpendi nawe usimpende bhana,nitakununulia zawadi
Jamani baridi yote hhiii mnatuacha tukiwa alone alone kweli🤣Utanyooka
Acheni uchoyo bwana....alafu mnacheleweaha ndoa wenyewe.Ha ha haa
Hutaki ndoa tena? Wataka kupelekeana moto tuu?Ndoa kwio
Wee bwana hili baridi hulioni?Hayo yote umeongea wewe
Ok...sasa mpaka mwezi wa nane sii balaa hiyoNaliona ila litaisha
Wewe wacha ubahili wa mbususuNa mbeya yeti tushazoea
Wee mbona unakula na kushiba lakini kesho yake wala tenaUtashiba lini hizo mbususu
Kikao cha mwisho pale Melela Malolo morogoro,,,Muweka hazina alilalamika sana kuhusu wasaliti...na tulikubaliana tuwaache hadi pale watakapojifunza kupitia makosa..Kuna wenzenu wanawasaliti 😁😁