Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
- Thread starter
- #161
PointMwanamke ndo anatakiwa aolewe mapema 18-25 akichelewa hapo muda unamuacha
Mwanaume anatakiwa aoe akiwa na miaka 30 hii miaka 20-30 ni miaka Ya kujijenga,kibusara(kuwa na maamuzi sahihi),kiuchumi uweze kuhudumia hiyo familia maana mwanaume huna msaada wowote hata mtu akikuuliza uko poa? Unatakiwa umjibu tu ndio Niko sawa maana maana hata ukijibu hauko poa hakuna atakae jali shida zako