Nilichogundua mwenzenu

Nilichogundua mwenzenu

Mambo? Unachelewa kuoa au kuolewa ndivyo utavyopata matokeo hasi ukishapata ndoa.
1.utaanza kuhisi kilakitu afanyacho mkeo/mmeo anakosea sababu ulishazoea tuvisheria twako.

2.kubughuziwa(to feel uncomfortable)....kuanzia kulala wawili kitandani na kushea anything(uchoyo unaanza hapa)

3.kutamani kuishi pekeyako Tena,kutaman mwenzio asafiri,akienda kazini achelewe kurudi au alale hukohuko🤣,akirudi apitilize kulala ataoga asubuhi😆.

4.Ongezeeni nilivyosahau(kuweni wakweli)

NB:Oaneni mapema kabla akili na mwili havijajizoea kuishi vyenyewe ili msipigane risasi(ndoa ni urafiki)
Naona kwa Mara ya kwanza umeamua uanzishe uzi hongera kwenye Hili na kitu kizuri zaidi ujatoa boko
 
Thanks mkuu kwa mada hii.. i have got different perspective... i believe God's time is the best..do not rush things sababu uko young au unaona muda unayoyoma, you might end up creating unhappy home ....usiolewe/oa kisa tu ni formality, olewa sababu unaona umepata mtu sahihi, and you are ready to commit into a relationship...it doesnt matter kama una miaka 25, 28, 35... ukimpata mtu sahihi hautaona kero hata kidogo...
That's it mkuu, don't rush...utaambulia kuishi na adui
 
Kwani hadi umri gani tunaweza kusema "huyu amechelewa kuoa/kuolewa?"
 
Mtoa mada huu ni ukweli kabisaaaa, ukishazoea kujisimamia mambo ya kupangiwa pangiwa yanakera. Ndio yale ya bibie anataka akaangalie mpira mwenzie anataka abaki nyumbani apike. Mgongano unaanzia hapo.
Ndoa ni kujikana haswa.
unataka ucheki muvi mpya ya mazombi mtu anakurukia rukia
 
Back
Top Bottom