Yah! Upo sahihi mkuu, wengi wanafanya kazi Kama hawataki.Jaribuni kuwapa vi-TIPS na motisha na hamasa pia; wengi wao wako hapo lakini kazi husika hawaipendi kutoka moyoni. Hakuna mtu anayeipenda kazi yake, then akaifanyia mzaha kiasi hicho.
Huduma mbovu ni ishara ya kukosa elimu ya kutosha, kutojitambua, na kutojiamini.
Hawa watu baadhi ni shida kwakweli ukiingia kwenye 18 zao watakunyanya Sana, anaweza kukwambia boss hayupo huku unasikia anaongea na simu.Kuna PS kalikuwepo pale UDOM ofisi ya Directorate of Undergraduate Studies
Yule Dada mse.ng....eeee sana sijui yuko wapi nowdays
Huwa na shikwa na hasira za kikulya, natamani nimtie vitasa..Hawa watu baadhi ni shida kwakweli ukiingia kwenye 18 zao watakunyanya Sana, anaweza kukwambia boss hayupo huku unasikia anaongea na simu.
[emoji28][emoji28]Huwa na shikwa na hasira za kikulya, natamani nimtie vitasa..
Wana majibu ya dharau, huku yupo busy na cm.. daaa *****
Alishatangulia na Uviko 19Kuna PS kalikuwepo pale UDOM ofisi ya Directorate of Undergraduate Studies
Yule Dada mse.ng....eeee sana sijui yuko wapi nowdays
Bora kuwepo na foleni tu yakusikilizwa shida zetu kuliko kuwepo kwa Hawa ma-ps huwa wanatuondolea mood mpaka tunaichukia ofs kabsaSionagi umuhimu wa hao watu huko serikalini hizo nafasi kwanza zingefutwa tu mbona mashirika yasiyo ya kiserikali haya huo ujinga ujinga hivi, watu waandika report wenyewe
Duuuhw aseeh, Mungu amlaze Mahali pema Peponi alinitesa sana enzi za Dr Mtahabwa akiwa ndio mwenye ofisiAlishatangulia na Uviko 19
Hawana hata umuhimu huo zaidi ya kero na wote hufanana tabia awe kijana au mzeeBora kuwepo na foleni tu yakusikilizwa shida zetu kuliko kuwepo kwa Hawa ma-ps huwa wanatuondolea mood mpaka tunaichukia ofs kabsa