scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Na sehemu kubwa tz viongozi ni kama miungu watu.Hongera zao... watumishi wote wangejitoa hivyo hzo lawama zisingekuwepo Ila bado Kuna sehem ma ps wanawakatili Sana wananchi wanaendekeza Sana delay zisizo za msingi