babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hapo hujapigia mahesabu aliokutana nao safarini kwenda kurudi🙄Namuonea huruma sana atakayekuja kukuoa maana atakachokuja kukutana nacho hataamini
Unasafiri 900km na Zaidi kwenda kugawa tunda
Ngoja nikae kimya iitakua mi ndo mshamba
[emoji3][emoji3][emoji3]Siwezi kukupa kongole mdogo ake, unakosa uhondo sana[emoji39]
Hahaha, mpwa naenda huko kimachale mno asee!!Usiende PM sasa baki hapahapa
Ulisema mngepima ungekaa hoteli wiki ee
Haya twende tukapime uje ukae kwangu miezi.
Nimegundua wewe unapenda sana ngono, kama sio basi hili ni tangazo la biashara.
Halafu unapenda sana wanaume wa JF kwa mentality yakua ni wasomi na pengine wana maisha.
Kuna wakina sisi huku, shauri yako.
Makubwa hayaUsinipite Mwokozi,Unisikieeee
Unapozuru wengine,Usinipite
Yesu, Yesu, unisikie,
Unapozuru wengine,Usinipite
Kiti chako cha rehema,Nakitazama
Magoti napiga pale,Nisamehewe
Yesu, Yesu, unisikie,
Unapozuru wengine,Usinipite
Sina ya kutegemea,Ila wewe tu
Uso wako uwe kwangu,Nakuabudu
Yesu, Yesu, unisikie,
Unapozuru wengine,Usinipite
U Mfariji peke yako,Sina mbinguni
Wala duniani pote,Bwana mwingine
Yesu, Yesu, unisikie,
Unapozuru wengine,Usinipite
Nakusalimia cutelove
jifiche fiche tu na hayo ma emoj nakufata pm saasaa hivii halafu nchomoleee uoneMakubwa haya
Binafsi sijashangaa hilo la matumizi ya condom, ila nimeshangaa jambo jingine tu...
Ila dodoma inawezekana kuna wana JF wengi sana waathirika.
Manake mmh.
Sipo jaman, pale nimeokokaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wooiiii
Bonge la foleni kule pm zitakua zimejam😂😂😂.Kama naona midume inayokandia hapa ila inakimbizana pm kwa mleta mada...[emoji1787][emoji1787]
Huyu kaweka Tangazo hapaNa anakuja kujitangaza kabisa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jifiche fiche tu na hayo ma emoj nakufata pm saasaa hivii halafu nchomoleee uone
Mkuu, ebu achaga ramli chonganishi...teh[emoji23]Mkuu kuna orodha imetajwa hapo juu naona na jina linaloanza na ma lipo pia![emoji81][emoji81][emoji81]