babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hapo hujapigia mahesabu aliokutana nao safarini kwenda kurudi🙄Namuonea huruma sana atakayekuja kukuoa maana atakachokuja kukutana nacho hataamini
Unasafiri 900km na Zaidi kwenda kugawa tunda
Ngoja nikae kimya iitakua mi ndo mshamba