Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Kwenye tangazo lako umesahau bei , yaani unauza shilling ngapi ukijumlisha na nauli yako.
Yaani jf tuu umepuyanga kiasi hiki huko mtaani khali sijui ipo vipi?[emoji22]
Tafuta kazi au biashara itakayokupa mahitaji yako hizo 7800 hazitakufikisha popote
Jf tu tumepangwa kiasi hiki, huko mtaani vijana wanakoma hakyanani!!
 
Naomba tuzoeane bhas.serious
 
Hivi kumbe UKIMWI bado upo..!!
Kwa maana hata mabango ya ujenzi siku hizi hayaandikwi tena β€˜UKIMWI UNAUA’ bali β€˜Hapa Kazi Tu’.
 
Kwann wanaume huwa tunapenda kuhangaika hvo,mtaan tunapoish ukjtuliza utaona kuna watoto Wa Kali tena Wa gharama poa,inakuwaje mnahangaikA mitandaon na kutuma minauli
Kuna watu hata mtaani kwao hawajulikani hata majina. kwani uwepo wa ni nadra sana. hao wafanyeje?
 
@ma
Nina rafiki yangu anaitwa prisca..mumewe Paulo

Watoto wao pacha Patricia na Patrick

Anaujauzito wa mapacha tena majina wameshayaandaa..paulina na Peter..

Namuonea wivu na mapacha kila mzao..[emoji17]
umuonee wivu pia akibebana na lile tumbo miezi 9

acha kabisa ujauzito wa twins,nasema Achaaaa,sikia tu kwa jirani
 
Bora kuchagua kubaki na mmoja tu hata kama anamapungufu bora kustahmili maana maisha ni mazuri na tunahitaji kuishi vyema kadiri Mungu anavyotujalia uzima
 
@ma

umuonee wivu pia akibebana na lile tumbo miezi 9

acha kabisa ujauzito wa twins,nasema Achaaaa,sikia tu kwa jirani
Namuoneaga huruma jamani

Umeandika kwa uzoefu..embu niambie unakuwaje
 
Nina rafiki yangu anaitwa prisca..mumewe Paulo

Watoto wao pacha Patricia na Patrick

Anaujauzito wa mapacha tena majina wameshayaandaa..paulina na Peter..

Namuonea wivu na mapacha kila mzao..[emoji17]

Karibu ujipatie mapacha wa jinsia upendazo bila malipo, usipopata mapacha tunarudia tena.... mkoani pia tunakufikishia huduma.
 
Karibu ujipatie mapacha wa jinsia upendazo bila malipo, usipopata mapacha tunarudia tena.... mkoani pia tunakufikishia huduma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani wewe..khaa!
 
Namuoneaga huruma jamani

Umeandika kwa uzoefu..embu niambie unakuwaje
kua kua kwanza nsije kukuzibua maskio dada angu

sitamani kukuona ukikata tamaa haraka namna hiii
 
kua kua kwanza nsije kukuzibua maskio dada angu

sitamani kukuona ukikata tamaa haraka namna hiii
Sasa si uniambie rafiki yangu..

Au unataka mabanzi uniambie huku Unatoa machozi?
 
Mkuu wewe ni mtunzaji mzuri wa kumbukumbu hizi na unajua kuconnect dots. Sie ambao hatujui pm ndo tusome comments tu
Sio mimi mkuu, hizi kumbukumbu zote zipo humu jf. Na leo ili nijiridhishe, nimezipitia kuzisoma ili nirejeshe kumbukumbu hapa jamvini
 
Nimejiuliza sana hili swali pia. Inabidi tuitishe kikao cha dharula [emoji23]
Asante ndugu mjumbe, lakini tayari mimi nimepanga mstari huko PM ili nifaidike kama wengine kwa 7800
 
Kuna mtaa, kijiji, nchi au mkoa unaoitwa JF? au unapoangalia list ya member unafikiri wamefungiwa chumba fulani au kijiji fulani ndio wanakoishi na tabia zao? JF ni shuleni kwako, mtaani kwako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚

Huu uzinaufananisha na uzi mmoja shoga moja liliandika jinsi linavoliwa tigo na limeshindwa kuacha.....uzi ulitembea uleeee...sasa huyu mleta mada nae hana tofauti na lile punga.
 
Sasa si uniambie rafiki yangu..

Au unataka mabanzi uniambie huku Unatoa machozi?
ndio mana nimesema kwako linanishinda jambo 1 tu (uwoya vs janjaro)

haya sasa uko mbali unantisha,nikiwa around si tayari naugulia maumivu?

Next week naanza Gym nijae jae kdg niweze kukumudu ili ukisema fyeeee (nakupa banzi hiloo)
 
Nyuzi za kingono ndiyo huwa zinakimbia Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…