Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Asante Behaviourist. Umejuaje ni jina langu kweli?

Kingine ambacho haukijui na natamani ukijue.
Baba anaitwa Paul (Paulo) M..
Mama anaitwa Paulina Paul.
Twin sister anaitwa Paola Paul.
Mimi ninaitwa Paula Paul.
Na mdogo wetu anaitwa Patrick Paul.
P famolly!!
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah kazi kweli kweli....mapenzi hayachagui mahali ata atokee wapi km mkiamua kuanzisha safari mnaanzisha tu, cha muhimu ni kujali afya zenu, kupima ni lazima

Piah dada jali afya yako, km ulitembea na mmoja wa jf ukaona hana muelekeo bs hakikisha utembei na mtu mwngne wa jf....jaribu kuwa mgumu kdg, mzungushe zungushe mpk ahairishe mwnyw

Na vile vile wanaume wa jf wenyew ndiyo wa kwanza kwenda pm kufata totoz, wngne ni maharage ya mbeya, ndvy alivyoumbw...

Apa watu hawasemi tu, lkn km wangekuwa wanaonekana bs wangeumbuka wengi tu, wanaoukutana pm uko [emoji3]
 
Duuuh wote hao mkatembelea rim kweli wewe jasiri muongoza njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…