Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Ahsante MUNGU sijawahi kushobokea manzi wa jf
Ni wabovu tu.. trust me..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante MUNGU sijawahi kushobokea manzi wa jf
Nipoooo
Hahahaahahah vipi mbona umefurahi????
Pandisha dau kidogo[emoji23][emoji23]Asante ndugu mjumbe, lakini tayari mimi nimepanga mstari huko PM ili nifaidike kama wengine kwa 7800
[emoji16]Babu usije kuwa uko kwenye list pia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ndo huyo kwenye DP?Siyo kazi yangu ili mpenz aridhike kuwa na mimi
Hujakosea hata. Vipi huko kila kitu shwari??Walah nimefurahi tu, Kwani nimekosea?
Hujakosea hata. Vipi huko kila kitu shwari??
P famolly!!Asante Behaviourist. Umejuaje ni jina langu kweli?
Kingine ambacho haukijui na natamani ukijue.
Baba anaitwa Paul (Paulo) M..
Mama anaitwa Paulina Paul.
Twin sister anaitwa Paola Paul.
Mimi ninaitwa Paula Paul.
Na mdogo wetu anaitwa Patrick Paul.
The PsP famolly!!
Ulisema mngepima ungekaa hoteli wiki ee
Haya twende tukapime uje ukae kwangu miezi.
Nimegundua wewe unapenda sana ngono, kama sio basi hili ni tangazo la biashara.
Halafu unapenda sana wanaume wa JF kwa mentality yakua ni wasomi na pengine wana maisha.
Kuna wakina sisi huku, shauri yako.
You so funny.😊😊Unatakiwa uishi pugu
Ule pweza
Utembee peku
Uvae pajam[emoji28][emoji28]
You so funny.[emoji4][emoji4]
Duuuh wote hao mkatembelea rim kweli wewe jasiri muongoza njiaIngawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.
Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.
Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.
Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.
Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.
Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.
Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.
Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.
Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.
Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?
Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.
Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.
Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
Biashara ya papuchi jf imeshamiriAiseee! Umeshatembea na wanaume watatu hivi wa JF? Mmoja mkashea bwana?? Nime-connect dots....hongera!!