Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Huyu mleta uzi kweli umewekeza kwenye ngono. Mpaka unazifungia safari? Btw UKIMWI upo kwenye chai pia. Tafuta kondom ya mdomo sasa
 
Mzee mbona umeongea kwa hisia sana, kuna mtu kazingua nini?

Kama mambo ni haya mbona hata Badoo cha mtoto? Mtu unaukwaa UKIMWI kupitia JF dah! Maisha yako yote ukisikia jina la Mello unakunja uso...

Ila mabinti wa humu dah! Hata umpende vipi ukija kuchunguza tu kidogo unakuta yaani anaburuzwa na mabaharia vibaya sana; hata kugeuzwa mchepuko na majamaa yaliyooa. Hovyo kabisa !!!
 
Asante Behaviourist. Umejuaje ni jina langu kweli?

Kingine ambacho haukijui na natamani ukijue.
Baba anaitwa Paul (Paulo) M..
Mama anaitwa Paulina Paul.
Twin sister anaitwa Paola Paul.
Mimi ninaitwa Paula Paul.
Na mdogo wetu anaitwa Patrick Paul.
P FAMILY [emoji44]
 
Nimeshaijua familia yenu[emoji85][emoji85]
 
Nina rafiki yangu anaitwa prisca..mumewe Paulo

Watoto wao pacha Patricia na Patrick

Anaujauzito wa mapacha tena majina wameshayaandaa..paulina na Peter..

Namuonea wivu na mapacha kila mzao..[emoji17]
Kachepuke na mme wa rafiki yako ni sperm donor wa mapacha[emoji1787]
 
Nimegundua mie ndiyo poyoyooo humu ndani.
Sijui nitaamka lini. Daah.
 
Eti mtu chake kasema ni wengi. Wakati mi naona kawaida tu.
Utatuweza sasa kwa unafki?? Mtu anajifanya kumshambulia mtoa mada ila na yeye ana kafoleni kake ka kutosha tu huku ila anajishaua.
Tangu lini watatu wakawa wengi? Labda kama anazungumzia watatu kwa mwezi...

Kuna kabinti hapa nakahifadhi jina naona kanamchamba mleta mada wakati mimi babu yenu nina ushahidi kameshabanduliwa na njemba kama 6 hivi za hapa JF. Mi simo lakini maana ilitokea kwa bahati mbaya tu...
 
Eti mtu chake kasema ni wengi. Wakati mi naona kawaida tu.
Utatuweza sasa kwa unafki?? Mtu anajifanya kumshambulia mtoa mada ila na yeye ana kafoleni kake ka kutosha tu huku ila anajishaua.
Wanatufanyia hila tuwaogope wachuchu. Nasi tunasema hatudanganyiki. Kwani nini bhana... kufa kwa ngoma ni ushujaa
 
Back
Top Bottom