Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Huyu mleta uzi kweli umewekeza kwenye ngono. Mpaka unazifungia safari? Btw UKIMWI upo kwenye chai pia. Tafuta kondom ya mdomo sasa
 
Mzee mbona umeongea kwa hisia sana, kuna mtu kazingua nini?

Asante Behaviourist. Umejuaje ni jina langu kweli?

Kingine ambacho haukijui na natamani ukijue.
Baba anaitwa Paul (Paulo) M..
Mama anaitwa Paulina Paul.
Twin sister anaitwa Paola Paul.
Mimi ninaitwa Paula Paul.
Na mdogo wetu anaitwa Patrick Paul.
P FAMILY [emoji44]
 
Nimeshaijua familia yenu[emoji85][emoji85]
 
Nina rafiki yangu anaitwa prisca..mumewe Paulo

Watoto wao pacha Patricia na Patrick

Anaujauzito wa mapacha tena majina wameshayaandaa..paulina na Peter..

Namuonea wivu na mapacha kila mzao..[emoji17]
Kachepuke na mme wa rafiki yako ni sperm donor wa mapacha[emoji1787]
 
Nimegundua mie ndiyo poyoyooo humu ndani.
Sijui nitaamka lini. Daah.
 
Eti mtu chake kasema ni wengi. Wakati mi naona kawaida tu.
Utatuweza sasa kwa unafki?? Mtu anajifanya kumshambulia mtoa mada ila na yeye ana kafoleni kake ka kutosha tu huku ila anajishaua.
 
Eti mtu chake kasema ni wengi. Wakati mi naona kawaida tu.
Utatuweza sasa kwa unafki?? Mtu anajifanya kumshambulia mtoa mada ila na yeye ana kafoleni kake ka kutosha tu huku ila anajishaua.
Wanatufanyia hila tuwaogope wachuchu. Nasi tunasema hatudanganyiki. Kwani nini bhana... kufa kwa ngoma ni ushujaa
 
Ndio ndio. Nzi kufia kwenye kidonda ni ushujaa. Tusiogope babu
Wanatufanyia hila tuwaogope wachuchu. Nasi tunasema hatudanganyiki. Kwani nini bhana... kufa kwa ngoma ni ushujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…