Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaangalia tu hapa na unafiki wao, yaani mademu humu wanajidai kumshangaa cutelove kwamba eti ametembea na wanaume watatu wa humu. Hahahaahahahahah
Yaani kama wao hawajawahi vileeee aiseeee
Wakati wengine huvuka mikoa kwa mikoa humu.
Hebu wamuache dada wa watu aiseee. Unafiki kiwango cha lami
Naona kajipa Mwenyewe maana wanaume huku wao wanasema hawajawahi kwenda pm za watu
Humu watu wanatakan kweli kwani? Hadi kukulana??[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
Kuna watu wapo serious....!! Wewe kama unatania hayaa... wanakulanaaa vizurii tuuu mpaka matopee...
Hahahahaaaaa. Na wewe unashangaa eeeeh? Mwenyewe nashangaa inakuaje watu wanafuatana pm wakati tunachat na ID fake.
Mi sijawahi jamani!Nawaangalia tu hapa na unafiki wao, yaani mademu humu wanajidai kumshangaa cutelove kwamba eti ametembea na wanaume watatu wa humu. Hahahaahahahahah
Yaani kama wao hawajawahi vileeee aiseeee
Mbona mi niligoma ukachukia etii!Mara 10000000000
Hembu na sisi tuwe serious tuwalipe tuache hizi chit chat sasa
Mimi huwa natembea na package zote kwa kibegi changuNdio bebe. Tuwalipe. Sema kupima kwanza kabla ya yote. Hata kukumbatiana mpaka tupime
Hiyo mbona simple tu...Mimi huwa natembea na package zote kwa kibegi changu
Nina pep
Nina miso
Nina ndom
Nina vipimo vya ngwengwe
Nina pipi za kuzalisha utelezi
Nina ugoro kwa wanaopenda kuzima
N.k
Nitapewa mimi nishaombaNaona kajipa Mwenyewe maana wanaume huku wao wanasema hawajawahi kwenda pm za watu
Mzee babaaKuna watu wapo serious....!! Wewe kama unatania hayaa... wanakulanaaa vizurii tuuu mpaka matopee...
Hizi silaha zinatumikaje mfano pep utaenda nayo ya nini. Mimi nna sd bioline na fiesta tuHiyo mbona simple tu...Mimi huwa natembea na package zote kwa kibegi changu
Nina pep
Nina miso
Nina ndom
Nina vipimo vya ngwengwe
Nina pipi za kuzalisha utelezi
Nina ugoro kwa wanaopenda kuzima
N.k
Hizi silaha zinatumikaje mfano pep utaenda nayo ya nini. Mimi nna sd bioline na fiesta tu
ni chai?Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.
Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.
Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.
Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.
Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.
Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.
Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.
Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.
Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.
Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?
Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.
Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.
Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.