Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AimeennnWewe angalau naweza nkaamini. Yaani baada ya muda mchache ujao utastahili utakatifu
Kwani unahisi anaweza akakuzidi nguvu??Aimeennn
Mniombee shetani asinizidi nguvu jamani!
Wanafiki tu
Usiwe na hasira jamani!Leo tumekuwa watakatifu ghafla
Hawezi kunizidi kabisaa! Imani yangu ni kubwa sana!Kwani unahisi anaweza akakuzidi nguvu??
SawaEwaaaaa.... ngoja tuendelee kukusanya za kutafuna njiani
SawaHahahahahahahaah
Hapana sina hasira hata
Na mungu aibakishe furaha yako.Sawa
Mefurahi mimi jamani kujua huna hasira!
@zero iqMkuu, ebu ngoja kwanza wanaume tunao ishi Dodoma tupige kura ili kabla ya kuchangia tujuwe aliye kunyandua...
AmenNa mungu aibakishe furaha yako.
Sina hasira amini nikwambialo
😊😊Amen
TatZo hawajibu PM [emoji41][emoji41]Kama mambo ni haya mbona hata Badoo cha mtoto? Mtu unaukwaa UKIMWI kupitia JF dah! Maisha yako yote ukisikia jina la Mello unakunja uso...
Ila mabinti wa humu dah! Hata umpende vipi ukija kuchunguza tu kidogo unakuta yaani anaburuzwa na mabaharia vibaya sana; hata kugeuzwa mchepuko na majamaa yaliyooa. Hovyo kabisa !!!
Asante Behaviourist. Umejuaje ni jina langu kweli?
Kingine ambacho haukijui na natamani ukijue.
Baba anaitwa Paul (Paulo) M..
Mama anaitwa Paulina Paul.
Twin sister anaitwa Paola Paul.
Mimi ninaitwa Paula Paul.
Na mdogo wetu anaitwa Patrick Paul.
Mwaka unaisha, bora atoe tahadhari ili mwakani watu wajipangeKazi ipo mwaka huu[emoji23][emoji23]
We kweli unatoka Bukoba kila anayekuja imbox unalala naye Ukimwi hauishiMwaka unaisha, bora atoe tahadhari ili mwakani watu wajipange
Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.
Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.
Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.
Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.
Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.
Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.
Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.
Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.
Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.
Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?
Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.
Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.
Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
continental mbona walishafunga virago hapo?Ingia mall humu,duka la continental utanikuta
Leo tumekuwa watakatifu ghafla
Jibu zuri aiseeee. Hahahaahahaha