Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Wanaume nao pia wanaleta unafki. Eti mtu anashangaa kabisa mtu kumfuata mpenzi wake mkoani. Au watu kuchat pm as if wao hawaendagi
Nawaangalia tu hapa na unafiki wao, yaani mademu humu wanajidai kumshangaa cutelove kwamba eti ametembea na wanaume watatu wa humu. Hahahaahahahahah

Yaani kama wao hawajawahi vileeee aiseeee
 
Hahahahaaaaa. Na wewe unashangaa eeeeh? Mwenyewe nashangaa inakuaje watu wanafuatana pm wakati tunachat na ID fake.
Humu watu wanatakan kweli kwani? Hadi kukulana??[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asprin tarehe za kwenda kotela zimefika!
 
Hiyo mbona simple tu...
Ndio bebe. Tuwalipe. Sema kupima kwanza kabla ya yote. Hata kukumbatiana mpaka tupime
Mimi huwa natembea na package zote kwa kibegi changu
Nina pep
Nina miso
Nina ndom
Nina vipimo vya ngwengwe
Nina pipi za kuzalisha utelezi
Nina ugoro kwa wanaopenda kuzima
N.k
 
Kutembea na vipimo kuna muda haisaidii,unaweza mpima mtu kumbe yupo kwenye window period yaani kaambukizwa siku chache zilizopita na kipimo kinasoma negative kumbe ni positive
 
Hiyo mbona simple tu...Mimi huwa natembea na package zote kwa kibegi changu
Nina pep
Nina miso
Nina ndom
Nina vipimo vya ngwengwe
Nina pipi za kuzalisha utelezi
Nina ugoro kwa wanaopenda kuzima
N.k
Hizi silaha zinatumikaje mfano pep utaenda nayo ya nini. Mimi nna sd bioline na fiesta tu
 
ni chai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…