Sasa nimekusikia. Kwa hiyo nikusaidieje kijanaWewe mwanamke sikupendi mpaka basi, na tabasamu lako kwenye avatar yako ni la KINAFIKI sana, wewe umeshiriki hadi Uzi wetu pendwa wa masihara comments zimefutwa.
unaniaminishaje?Mi sijawahi jamani!
Siyo kazi yangu ili mpenz aridhike kuwa na mimi
Huwa mtu anaaminishwaje etiunaniaminishaje?
Mbona mi niligoma ukachukia etii!
Tuonane pmIngawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.
Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.
Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.
Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.
Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.
Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.
Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.
Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.
Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.
Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?
Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.
Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.
Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
MmmhhhHapana. Siyo kweli
Mmmhhh
Kwenye uzi wa snap bana
Pretenders hao.Kweli mkuu mazi unaweza fata hata kgoma from dar watu wajifanya ajabu kufata mtwangio
Unauza au watoa bure... Nami nataka kidogoIngawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.
Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.
Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.
Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.
Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.
Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.
Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.
Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.
Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.
Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?
Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.
Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.
Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
Jibu zuri aiseeee. HahahaahahahaUliza maswali
Wanafiki tuWanaume nao pia wanaleta unafki. Eti mtu anashangaa kabisa mtu kumfuata mpenzi wake mkoani. Au watu kuchat pm as if wao hawaendagi
Leo tumekuwa watakatifu ghaflaMikoa na mikoa na wanahama pm kama hawana akili nzuri
Wewe angalau naweza nkaamini. Yaani baada ya muda mchache ujao utastahili utakatifuMi sijawahi jamani!
Unasema alikutokeaga eti?? Au nimuulize ShunieMbona mi niligoma ukachukia etii!