Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Kuna wakati niliona sredi zinatembea hapa, nikadhani wamekusingizia tu...

Sasa naona confession yako hapa nimebaki kushika tama...

Anyway, punguza kidogo kujiexpose sio watu wote wanakuwa na nia njema
Mkuu, umenikunbusha mbali sana kuhusu mleta mada na ule uzi....
Anyway, ebu ngoja nikae kimya
 
Nani kakwambia kondom zinazuia ukimwi? Watu wanakuja na test pqck wanakupima ngwengwe halafu wanapaka ky mwanaume unateleza tu kokote. Na we kushinda na wanaume wa mitandao kwani huko bukoba hamna wanaume?
Wanawake wa bukoba kama choroko tu unatia maji mara moja tayari zimeshalainika
 
Back
Top Bottom